Ni nani Rodrick Mpogolo? Anatajwa kuwa Katibu Mkuu mtarajiwa wa CCM baada ya Bashiru

Makumbele

Member
May 9, 2009
47
150
Nimekutana na hii habari, ikabidi nitake kumjua kwa undani huyu jamaa.

Ametokea wapi hasa hadi kufika alipo? Ni kweli ndo atakuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM baada ya Bashiru? Tutarajie nini baadae?

Mwenye kuwa na wasifu wake na historia ya utumishi wake atushirikishe.
 
Generalist

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,147
2,000

Kama ambavyo hatukutarajia kuwa Bashiru angeula kuwa Chief Secretary basi ni hivyo hivyo tu hata CCM Secretary General tutashangazwa zaidi.
 
binti kiziwi

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
4,388
2,000
Hafai, ni aina ya watu atakayeendeleza siasa za kimafia na visasi. Nafasi ya KM na mwenezi watafutwe watu Charismatic wanaoweza siasa ya ushawishi. Lakini kwakuwa historia yake na Chato zimekaa vizuri anaweza kuangaliwa, ni mtu mwenye roho chafu sana, hana tofauti na bwana yule. Mara mia Bashiru.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom