Rais Magufuli ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki mkutano wa 21 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo tarehe 27 Februari, 2021 kwa njia ya mtandao.

Chanzo: Msemaji Mkuu wa Serikali

1614425639816.png


1614425662355.png
 
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameshiriki Mkutano wa 21 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye ni Mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya hiyo ameongoza Mkutano huo unaofanyika kwa njia ya mtandao

Mapema wiki hii, Wizara ya Mambo ya Nje ilisema miongoni mwa masuala muhimu katika Mkutano huo ni pamoja na uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa EAC

View attachment 1713115

View attachment 1713116
Kwa mara ya kwanza
 
Back
Top Bottom