Taifa lisilokusanya kodi haliwezi kujiendesha. Awamu hii ya tano inajinasibu kukusanya tri 2. Je, Watanzania wananufaika?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina.

Je, haya mapato yanawanufaisha watanzania? Kwamba miundo mbinu, elimu afya na sekta muhimu zimekuwa stable?

Leo hii Mtanzania wa kawaida anamudu kupata milo mitatu inavyotakiwa? Ana uwezo wa kupeleka watoto shule?

Je waliofunga biashara kwa ngwinjangwija za TRA kukusanya kodi kwa kutumia mitutu ya bunduki wananufaika na pato kubwa la taifa?

Wakulimaa na wafanyakazi wanasemaje?

Fungukeni wadau.
 
Back
Top Bottom