Changamoto: Mazrui aapishwa kuwa Waziri wa afya Zanzibar; Je, Zitto Kabwe atamshawishi alete chanjo za Corona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,839
2,000
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.

Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.

Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.

Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.

Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?

Maendeleo hayana vyama!
 
young solicitor

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,062
2,000
Ni upumbavu kudhani kwamba mtu hana maamuzi yake binafsi mpaka apangiwe na fulani, kama wewe upo hivyo sio kila mtu yupo hivyo.
Taifa kwanza leo na kesho.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,839
2,000
Ni upumbavu kudhani kwamba mtu hana maamuzi yake binafsi mpaka apangiwe na fulani, kama wewe upo hivyo sio kila mtu yupo hivyo.
Taifa kwanza leo na kesho.
Unaelewa maana ya kushawishi?

Ni kama Halima James Mdee alivyoishawishi NEC na sasa wako bungeni!
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
4,800
2,000
Haya yanayoendelea Zbar, ni uthibitisho wana uhuru kiasi fulani kujiamlia mambo yao. Ingekuwa idhini ya huku Bara wale wenye roho yenye kutu wasingeruhusu mema ya umoja wa kitaifa.
 
mirisho pm

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
3,584
2,000
Kwani Zanzibar ni nchi?
Usilojua ni kwamba Mwinyi akija huku unapewa hadhi ya uwaziri..
Ndio ujue Tanganyika ni kiboko ya kazi..
Magufuli is the top of every decision both mainland and at the isles archipelago of Zanzibar..
 
Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,673
2,000
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.

Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.

Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.

Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.

Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?

Maendeleo hayana vyama!
Kuteuliwa kwake hakumfanyi acheze ngoma ya kwake. As long as yupo serikalini atalazimika kusimamia na kutimiza sera na agenda za Chama kilichoshinda uchaguzi
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
4,228
2,000
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.

Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.

Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.

Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.

Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?

Maendeleo hayana vyama!
Kwa mujibu wa Articles of Union suala la Afya siyo moja ya masuala ya Muungano. Ndiyo maana ZNZ Ina Waziri wake.

Suala la kuagiza chanjo kwa ZNZ halikupaswa kumsubiri Nassoro Mazrui achaguliwe na kuapishwa kuwa Waziri bali hata Katibu Mkuu wa Wizara angeweza kuagiza chanjo.

Kwa mtazamo wangu nitaelewa tu kuwa ZNZ hawajaagiza chanjo labda hawana fedha za kulipia chanjo inayokadiriwa kuwa ni USD 8 kwa dozi moja kwa raia. Kama kuna Wazanzibari 1,200,000 ni sawa na USD 9,600,000 au Tsh 22 Billion

Tukumbuke ZNZ kutokana na kuwa sehemu ya Muungano vyanzo vyake vya mapato ni vidogo sana. Labda walikuwa wanasubiri Tz Bara wawasaidie.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,839
2,000
Kwani Zanzibar ni nchi?
Usilojua ni kwamba Mwinyi akija huku unapewa hadhi ya uwaziri..
Ndio ujue Tanganyika ni kiboko ya kazi..
Magufuli is the top of every decision both mainland and at the isles archipelago of Zanzibar..
Akija huku wapi?
 
salari

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
798
1,000
Kwa mujibu wa Articles of Union suala la Afya siyo moja ya masuala ya Muungano. Ndiyo maana ZNZ Ina Waziri wake.

Suala la kuagiza chanjo kwa ZNZ halikupaswa kumsubiri Nassoro Mazrui achaguliwe na kuapishwa kuwa Waziri bali hata Katibu Mkuu wa Wizara angeweza kuagiza chanjo.

Kwa mtazamo wangu nitaelewa tu kuwa ZNZ hawajaagiza chanjo labda hawana fedha za kulipia chanjo inayokadiriwa kuwa ni USD 8 kwa dozi moja kwa raia. Kama kuna Wazanzibari 1,200,000 ni sawa na USD 9,600,000 au Tsh 22 Billion

Tukumbuke ZNZ kutokana na kuwa sehemu ya Muungano vyanzo vyake vya mapato ni vidogo sana. Labda walikuwa wanasubiri Tz Bara wawasaidie.
Kuna chanjo ya Iran mkuu wakiiomba Iran iawasadie just kibinadamu itakuwa poa hivyo suala la gharama kubwa huenda lisiwepo
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
6,494
2,000
Bwashee kwani huyo Waziri wa afya anawajibika kwa Kiongozi Mkuu wa chama chake, au kwa Rais aliye mteua? Mbona unaanzisha mada chonganishi?
Anachomaanisha ni kwamba Waziri Mazrui apeleke agenda hiyo ya chama chake kwenye SUK. Ikikataliwa, ajiuzulu kulinda msimamo wa chama chake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom