Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa ni takriban ya Wiki nne tu toka hosteli hizi kuanza kukaliwa na Wanafunzi hatimaye Nyufa kubwa na za kushangaza zimenza kujitokeza kwenye mojawapo ya Majengo haya alimaarufu kama JOHN POMBE...
49 Reactions
971 Replies
191K Views
Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari: 1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais huyo Dkt Rugemeleza Nshala akihojiwa na DW leo amesema Katiba ya Tanzania inampa kila raia haki ya kupata na kutoa taarifa hivyo msemaji wa Serikali hawezi kuzuia watu kusema wamefiwa. Pia...
28 Reactions
66 Replies
8K Views
Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti...
13 Reactions
84 Replies
9K Views
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, inatamka wazi mamlaka ya kutawala hili taifa yapo mikononi mwa Watanzania. Wao ndio wanachagua viongozi ambao lazima watawale na kuongoza nchi kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama. Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Haiingii akilini kama Serikali na mamlaka zinazosimamia hii mitandao ya simu hazijui hizi gharama za kinyonyaji za hii mitandao. Walianza Tigo kupandisha gharama zaidi ya 100%. Sasa hivi Voda nao...
15 Reactions
76 Replies
7K Views
Wana bodi, Wimbi la pili la Korona limetupata bila kujiandaa lakini kwa walio wengi ilitokana na athari za kulegeza hatua za kujilinda kabla ya tatizo ku tokomea kabisa. Sidhani kama Tanzania...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mamlaka ya Usafiri wa Ardhini ( LATRA ) imetangaza kwamba hadi kufikia January 6 mwaka 2021 mabasi yote yawe yameanza kutumia tiketi za mtandao, vinginevyo watafungiwa kutoa huduma hiyo . Bado...
20 Reactions
263 Replies
31K Views
Inashangaza sana tuna Taasisi za Utafiti wa magonjwa na Afya ya binadamu kama NIMR na IFHI, tuna vyuo vikuu vya tiba na huko kote kuna wasomi wanaojiita wabobezi na wa watafiti, nimejiuliza sana...
5 Reactions
33 Replies
3K Views
Saalam familia ya JF, Katika tafakuri yangu nimeamua kuwapongeza viongozi wa dini hasa jumuia hizi mbili, TEC na CCT kwa kujitoa muhanga na kulisema wazi janga la Covid. Kwanini nasema kujitoa...
18 Reactions
110 Replies
7K Views
Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi...
2 Reactions
0 Replies
710 Views
Anaandika Pd. Titus Amigu.. Dini hazijaanza jana, wala siasa hazijaanza jana. Kwa Wakristo Wakatoliki, kwa woga, watu wanafuja vipaimara vyao na sakramenti ya Daraja inayowafanya wawe makuhani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ile dhana ya kwamba makampuni mengi ya kibiashara kufunga biashara zake na kupunguza wafanyakazi limenikuta mbashara sasa. Ni baada ya kampuni moja ninayofanyia kazi kuanza kupunguza wafanyakazi...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania...
39 Reactions
209 Replies
17K Views
Ni utaratibu mzuri tu ambao unatakiwa kuwekwa kwenye katiba ya JMT ili wananchi tusiporidhika na ahadi tulizopewa na mbunge tuliomchagua tuwe tuna uwezo kuweka azimio na likishapita huyo mbunge...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Waziri wa viwanda na biashara mh Mwambe amesema kuna stock ya kutosha ya mafuta ya kula nchini hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi wowote. Mwambe amesema wanatafiti kujua kwanini wafanyabiashara...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba...
1 Reactions
5 Replies
953 Views
Back
Top Bottom