#COVID19 Tupo Watanzania tunaohitaji chanjo ya COVID-19

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru.

Leo tunaanzaje kukataa chanjo ya covid 19 kwa maamuzi au fikra ya mtu fulani ambaye unaweza kuta nyuma ya pazia kashajipiga iyo chanjo ya covid 19.

Nini maana ya kuwa na mamlaka ya kudhibiti viwango na maabara kuu ya taifa?

Ni wajibu wa serikali kupima na kudhibitisha viwango vya hizi chanjo kwanza kabla ya kuwapa wananchi wake na sio kuja na kauli ya kibaguzi, kishamba na kejeli wakati hata uwezo wa kutengeneza dawa hatuna.

Tunaelewa chanjo hazitolewi bure. Ni jukumu la serikali kununulia Wananchi wake chanjo.

Hata hivyo, kama serikali imegoma kununulia wananchi wake chanjo, Iweke huru kwa hospitali binafsi kuleta chanjo na wenye uwezo kujinunulia.

Hatuwezi kufa kwa uzembe wa kijinga namna hii. Chanjo ni muhimu kuliko mandege na mamiradi anayojenga. Kama chanjo wanataka kuua Waafrica wengine acha tutake risk. Bora kufa huku unapigania kusurvive kuliko kubweteka tu et Mungu wetu yupo hai. Kwani Mungu wa nchi nyingine ni marehemu?

Leo haamini chanjo za Mzungu ila yupo tayari kununua bombadia kutoka kwa mzungu kwa cash.
 
Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
Ok Sasa tatizo hapo ni Africa au Uafrica yaani ngozi nyeusi. Sababu hata huko kwao ngozi nyeusi wako wengi tu . Hebu tusaidiane mawazo. Tukikumbishana kwanza hii sio chanjo ya kwanza kutolewa toka 1960s huko Tanzania chanjo tumechanjwa za kuzuia ndui n.k
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru...
Hao wazungu wanaochanjwa ndio wanao ongoza kwa kupata corona sasa faida ya chanjo ni nini?

Wingereza wamechanjwa lakini Wana maambukizi mapya na pia wamepigwa ban kwenda umoja wa ulaya sasa wewe kapuku unataka chanjo ya nini wakati wenye nayo haijawasaidia?

Ukitaka chanjo ondoka uende ukachomwe huko kwani hakuna wa kukuzuia.
 
Tatzo la hiyo chanzo ya COVID-19 linaanzia hapa kwenye maelekezo,kwahiyo Kama unauwezo wa kujihoji jihoji jipe majibu afu jiulize kwann kwa Waafrika na siyo kwawazungu??View attachment 1687410View attachment 1687411
Hizo ni siasa zenu za maji taka!!kama hujui kitu kaa kimya!!chanjo zote zinatoka kwa hao wazungu wakitaka kukuua , ni mala moja tu!!hizo ARV'S wakati ndio zinaanza watu kama nyie walipiga kelele sana!!je kama zisingetumika sasa hivi bara la afrika lingekuwa wapi?!!watu wanawatia ujinga eti chanjo zina madhara, wakati wao wamesha jidunga!!waulize nchi za kiarabu zilizokataa chanjo ya polio kilichowakuta, mbona badaye waliikubali baada ya kuona watoto wanaopooza ni wengi sana.
 
Hao wazungu wanaochanjwa ndio wanao ongoza kwa kupata corona sasa faida ya chanjo ni nini?...
Daaa!!wakati mwingine kukaa kimya kuna ficha mengi?!!kwa hiyo hao waliopata chanjo ndio waliopata maambukizi?population yao unaijua?chanjo ndio kwanza imeanza, wewe unasema eti wameshapewa chanjo lakini wanamaambukizi!!chanjo kwanza zimeanza kutolewa kwa makundi ambayo yako hatarini, na kufuata wengine!!

Na kila raia kuja kuzipata ni muda itachukua, kwa sasa demand ni kubwa kuliko supply!!nyie tianeni ujinga wakati huyo anayewalisha tango poli, alishajipatia chanjo yake mapema!!
 
Hao u
Mkuu una mawazo makubwa kuliko hata 'cabinet' ya chama pale Lumumba.

Huyu mzee na familia yake na wanaomzunguka washajipiga chanjo 'mafichoni' sasa wanaanza kukebehi wanyonge.
Hao unaofikili chanjo yao ni nzuri mbona bado wanaogopa corona?
Kwa nini wasijipige hizo chanjo kisha wajichanganye na wengine kwa kuwa wao hawatazurika?
Wao Wana chanjo kisha wanaogopa corona sasa huo sio ni uninga?

Bado kuna wapunbavu Kama ninyi bado mnawaanini kwenye hiyo chanjo.
Tumieni akiri zenu.

Kwani Tundu Lisu ameshachanjwa?
 
Daaa!!wakati mwingine kukaa kimya kuna ficha mengi?!!kwa hiyo hao waliopata chanjo ndio waliopata maambukizi?population yao unaijua?chanjo ndio kwanza imeanza, wewe unasema eti wameshapewa chanjo lakini wanamaambukizi!!chanjo kwanza zimeanza kutolewa kwa makundi ambayo yako hatarini, na kufuata wengine!!na kila raia kuja kuzipata ni muda itachukua, kwa sasa demand ni kubwa kuliko supply!!nyie tianeni ujinga wakati huyo anayewalisha tango poli, alishajipatia chanjo yake mapema!!
Nadhani uelewa wenu ni kipumbavu, chanjo anayopewa mazungu sio unayopewa wewe, na uwezi wao wa kukidhi hizo chanjo ni mkubwa Sana sasa iweje waanze na na group?
Hiyo ni zuga tu mnatakiwa kufa Ila hamjijui
 
Ni ngumu kuamini kuwa katika karne ya 21 unaweza kuwa Rais wa ajabu kama huyu!
10127164032.jpg
 
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbali mbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka ipate uhuru...
Dawa ni moja,kuaminiza wenzetu hatutaki,basi leteni hapa juhudi zetu, za utafiti wa chanjo yakutengeneza wenyewe yenye kuaminika, ama zote hizi ni mbinu za kukwepa gharama kwakuwa tumeshachagua tufanye nini na tusifanye nini.
 
Back
Top Bottom