Nilichojifunza kwa siku za hivi karibuni Duniani kote ni kwamba kila Jambo ni habari. Wanadamu wamekuwa wepesi sana kupokea habari na wazito sana kuzichuja habari.
Ili uweze kuwa na afya ya...
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais JAKAYA KIKWETE amezindua awamu ya pili ya ujenzi wa uwanja wa ndege za vita uliopo katika kamandi ya jeshi la anga iliyopo NGERENGERE mkoani...
Tumpende au tusimpende Rais Magufuli kwenye hili hajakosea wala kuvunja katiba, Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi sana.
Maneno ya Kiingereza hutumika kulingana na muktadha au Mazingira...
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.
Ni wakati mzuri Sasa...
Watu wanaendekeza siasa mno kuhusu suala la CAG. Rais halazimiki kumteua CAG yule yule kila baada ya miaka mitano. Katiba na Sheria viko wazi kwa yeyote kuona. Kwa vile marais waliopita walimteua...
12, Machi, 2021
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
MAJALIWA: SERIKALI ITAJENGA ‘COLD ROOM’ UWANJA WA NDEGE WA SONGWE
*Asema lengo ni kuhifadhi parachichi na mazao mengine kabla ya kusafirishwa...
Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku.
Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi...
Imebainika kuwa saa 144 zilizobakia CCM na Mgombea wake Dr Magufuli wamezidi kukubalika kwa wanainchi kutokana na sera zinazogusa wananchi wa kawaida.Wakati chama cha Chadema kimezidi kupoteza...
Bila kujali itikadi za vyama vyetu tukubaliane sasa 'vichwa' wote waungane tutengeneze tu taifa la kizalendo lenye kulinda na kutetea maslahi ya nchi yetu na kuitii Katiba Mpya.
Tufute vyama...
Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA...
Kulikuwa na duka Kuubwa la Vyakula na Vinywaji katika mji. Panya Wengi waliishi katika duka hilo la vyakula na vinywaji. Chakula kilikuwa ni kingi sana kwa ajili yao. Walikula kila kitu na...
ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.
CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa
CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.
CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.
J...
Ratiba ya kampeni za urais iliyotolewa na NEC inaonyesha, Mgombea urais kupitia CCM, Rais John Magufuli atakuwa na mapumziko ya siku nane kuanzia keshokutwa Jumapili hadi 11 Oktoba 2020. Siku...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Naipongeza mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) kwa mabadiliko makubwa mliyofanya kiasi cha kuifanya mamlaka kuwa rafiki badala ya kuwa adui kwa walipa kodi...
Wale wanaosafiri safiri kidogo ninaamini wananielewa.
Enzi za Mwalimu (RIP baba/babu yetu), huko ubeberuni huyu mzee ingawa walikuwa hawampendi kwa misimamo yake lakini walikuwa wakimwogopa na...
Mjadala mkubwa umeibuka kuhusu asili za viongozi waandamizi wa sekta mbalimbali huku hoja zikianzia kwenye mwonekano wa nje wa watu. Wapo wanaofananisha baadhi ya wanafamilia wa wateule au hata...
Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio...
Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.
Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua...
Ukweli ni kwamba, hawa Bwana wakubwa wamefanikiwa sana katika kupandikiza hofu na uoga katika jamii yetu na hata katika vyombo vyetu vya habari lakini wamefeli sana katika azima yao ya kutaka umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.