CHADEMA ni chama Kikuu cha Upinzani kwa vigezo gani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.

CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa

CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.

J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani.

Ndio nauliza CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo gani?

Kuuliza siyo ujinga

Maendeleo hayana vyama!
 
Kisingekuwa chma kikuu cha upinzani wala usingekiwaza na mwenyekiti wako asingetumia kila aina ya silaha na nguvu kubwa hivyo kukiangamiza. Pili kumbuka kuwa ACT mmeshaungana nao huko serikalini
Swali alilo uliza linahitaji majibu kwa fact sio kuachama na maneno kudondoka. Wewe umejibu kwa shali Wakati ameuliza kwa nia ya kuhitaji kufahamu. Si bora ungekaa kimya kama sisi wengine ambao hatuna majibu tunasubiria wenye uelewa wa hili watoe majibu. Tanzania sijui akili zetu zilienda wapi
 
Isipende kionekana mjinga. Ungeuliza kimya kimya.
Mnyika haja kosea wala haja ongea uongo. Kuwa na wabunge haikupi tiketi ya kuwa chama cha upinzani. Kinacho kupa hiyo nafasi ni asilimia ya kura alizo pata mgombea urais. Pole kwa kuwa gizani
Sasa mbona bungeni hamna KUB?

Samahani lakini bwashee.
 
Isipende kionekana mjinga. Ungeuliza kimya kimya.
Mnyika haja kosea wala haja ongea uongo. Kuwa na wabunge haikupi tiketi ya kuwa chama cha upinzani. Kinacho kupa hiyo nafasi ni asilimia ya kura alizo pata mgombea urais. Pole kwa kuwa gizani
Mimi nafikiri ungemjibu kistaarabu angeelewa pia. Ushampatia jibu tayari kwenye asilimia japo kwa mbinde 😂
 
Yapi mawazo yako, unafikiri kwa nini ndio chenyewe leo , kesho na kesho kutwa.
 
Swali alilo uliza linahitaji majibu kwa fact sio kuachama na maneno kudondoka. Wewe umejibu kwa shali Wakati ameuliza kwa nia ya kuhitaji kufahamu. Si bora ungekaa kimya kama sisi wengine ambao hatuna majibu tunasubiria wenye uelewa wa hili watoe majibu. Tanzania sijui akili zetu zilienda wapi
Unajua chadema ilipata kura ngapi kwenye uchafuzi mkuu wa 2020? Au unabwabwaja tu
 
ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa.

CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa

CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa.

CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza.

J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani.

Ndio nauliza CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani kwa vigezo gani?

Kuuliza siyo ujinga

Maendeleo hayana vyama!
Unauliza kijinga sana. Ni kwa sababu ni mjinga. CHADEMA walipata ridhaa ya wananchi wakaporwa na vyombo vya dola kukisaidia marehemu CCM.
Ni kweli si chama kikuu cha upinzani bali ni chama tawala kwa takwimu sahihi za NEC.
Kama unabisha wambie NEC wachapishe hadharani matokeo ya kila kituo kwa utaratibu uliowekwa kisheria.
Na hili litawakwama kooni hatumalizi mwezi.
 
Back
Top Bottom