Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa...
24 Reactions
117 Replies
13K Views
  • Closed
Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani... Ulazwe unapo stahili
5 Reactions
153 Replies
14K Views
Ambassador to Tanzania. I want to talk to you about COVID-19, and how we can work together to prevent its spread and help all of us stay safe. Since the start of the Covid-19 pandemic, almost...
24 Reactions
150 Replies
13K Views
Leo chadema waliongea na Waandishi wa habari na kuomba Viongozi wa dini kuwapatia watu wa kuendesha maombi TP Sinza kwani wao ni wanasiasa. Ila baadae Polisi wakapiga marufuku maombi hayo na...
1 Reactions
63 Replies
8K Views
Msingi wa maendeleo ni jamii kuwa na hoja kinzani na mwisho wake tunafikia muafaka.Hoja yangu ni hii. Suala la sheria siku zote halina "option" kama ina ukakasi ni kuifuta na si kutoitekeleza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
“Katika kipindi cha kuanzia July, 2020 hadi January, 2021 jumla ya ajira 450,416 zimezalishwa katika sekta mbalimbali, kati ya ajira hizo, ajira 169,475 zimetokana na utekelezaji wa miradi ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Pamoja na changamoto zilizoikumba dunia ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango aliyasema hayo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tundu Lisu baada tu ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa alikimbilia ubalozi wa Germany kisha JNIA kukwea pipa na kurudi zake Ubelgiji. Hakuna kamanda yoyote kutoka Chadema aliyejitokeza...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Akizungumza katika makao makuu ya Wizara ya afya huko Mnazi Mmoja Zanzibar, Waziri Mazrui amesema Zanzibar haipo tayari kutumia chanjo yoyote ya Covid hadi pale wataalamu wa afya watakapoitafiti...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoa wa Mara kimewavua uongozi na kuwafuta uanachama wanachama wake nane akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Tarime kwa kosa la...
9 Reactions
51 Replies
7K Views
Wana Jf, ni wazi kuwa serikali inapofanya maendeleo ya vitu hasa kujenga miundo mbinu, viwanda, na kuboresha sekta zote za kiuchumi lazima zilete matokeo chanya kwenye maisha ya watu. Lakini...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Imenilazimu kusafiri kilometa takribani 1000 ili kumuonesha Robert Amsterdam kuwa hawezi kutupangia nani awe Rais wa Tanzania. Ushindi upo ila tunataka uwe wa kishindo ili akome...
88 Reactions
284 Replies
26K Views
Kwa kitendo kinachofanywa na Tanzania Rural and Urban Roads Agency (TARURA) ni uonevu juu ya Maisha na uuwaji wa ukandarasi. TARURA wameanzisha mfumo wa malipo ambao haujafanyiwa kazi na sasa ni...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakati nchi nyingi za bara la afrika zimekuwa zikitia aibu na marais ambao wakichaguliwa aidha wanakaa nunusu kwa nusu Ulaya na nyumbani au kuamia kabisa Ulaya, Marekani au hata Falme za kiarabu...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Huyu Waziri baada ya kuona Jafo na Lukuvi wanasifiwa, sasa kaamua kuamka. Serikali yaikamata meli kutoka Malaysia na kuitoza faini ya milioni 770 Baada ya kukamata Meli, sasa kabamba mwani. Leo...
2 Reactions
35 Replies
12K Views
Ama kwa hakika Tanzania ingepata viongozi wenye kujitoa bila kujali maslahi yao binafsi,ubabe,majivuno,ukandamizaji na kiburi cha madaraka nchi ingesonga sana hii Kwa anayoyafanya huyu binti kule...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Huwa sielewi kwa nyakati tofauti hawa watu wawili ni kwa nini uhusishwa na mambo ya Serikali wakati wao ni Raia tu wa kawaida. Yaani kwa mfano swali unauliza Serikali kwa nini huwa kunakuwa na...
15 Reactions
31 Replies
47K Views
Monduli Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda na naibu wake, Hussein Bashe wameweka kambi usiku kucha eneo la Engaruka wilayani Monduli Mkoa wa Arusha kusimamia shughuli ya...
8 Reactions
64 Replies
8K Views
MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kuwa kutokana na umahiri wa maabara zilizopo kwenye Mamlaka hiyo zimeweza kutoa huduma ya upimaji wa sampuli mbalimbali kutoka Katika nchi tofauti za...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom