Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake...
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea...
Nchi hii sasa karibu iwe jehanamu, hakuna raha! Viongozi wetu kutwa kucha wanahubiri vitisho hawataki tufurahi, tupashane habari, tuelimishane! Viongozi wetu wanataka tuwe mabubu, tujikunyate...
Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena...
Aliyekuwa waziri wa maliasili na utalii Dkt. Kigwangalla amesema amefuta rasmi urafiki wake na mfanyabiashara maarufu Mo Dewji kwa sababu yeye (Kigwangalla) ni mtu wa principles.
Akizungumza na...
Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani (TABOA), mkoani Mwanza, wamemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati na kuvunja utaratibu wa kuweka wakala wa kukusanya mapato kwenye ukataji wa tiketi maarufu kama...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.
Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata...
Magazeti ya Fahari Yetu, Tanzanite na Jamvi la Habari kila siku yanaandika habari za uzushi na uongo na mhariri wake Habibu Mchange anajulikana lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na...
Kumekuwa na mihemuko ya baadhi ya wanajamii hasa wanasiasa za upinzani, wakitaka kupewa takwimu za ugonjwa wa covid 19. WHO nao wamekuwa wanadai takwimu. Ukweli ni kuwa takwimu wanazozitaka hawa...
Taifa linalokuwa na tasnia ya habari iliyojaa uoga ni taifa mfu. Maana ni taifa ambalo haliwezi kupata taswira au picha kamili ya jinsi hilo taifa lilivyo.
Nini kinawapa wanahabari kupata...
Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na hatima ya viboko hapa nchini.
Je, nikweli kuna siku hata wanao wapiga viboko wenzao leo hii kuna siku na wao watatandikwa?
Huyo...
Nimeona nitoe ya moyoni kuelekea 2025 maana kwa Neema za Mungu tukikuwepo basi ningeomba swala la kutuchagulia vijana lisiwe agenda ila agenda iwe ni kumpata kiongozi mwenye busara na anaye...
Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na...
Hivi jaman huyu ni rais kweli au Mungu katupa adhabu kama wana wa Israel kuteseka jangwani.
Hivi si huyu alisema hapangiwi cha kufanya kwanini awapangie wahariri wa vyombo vya habari waandike...
Tume Ya Uchaguzi (NEC) Leo Itafanya Uteuzi Wa Wagombea Nafasi Mbalimbali Kwenye Uchaguzi Ujao:-
Nafasi Ya Rais, Makamu Wa Rais, Wabunge, Madiwani
Vyama Vyenye Usajili Ni Kumi Na Saba (17)...
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi...
Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya...
Toka Rais Magufuli ameingia madarakani amekuwa na desturi ya kurudi nyumbani kwao Chato kila kipindi cha likizo yake kinapowadia.
Ni jambo zuri sana, ukilinganisha na wale waliokuwa kila kukicha...
KENYA WAMETUPIGA KWENYE MSHONO TENA.
Kenya umepiga marufuku mahidi ya Tanzania kwa kuwa Yana sumu inayosababisha Cancer na wametangaza hadharani na wameitangazia Dunia.
Mwaka 1776 Jasusi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.