Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu. Serikali na...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Hili ni tatizo kubwa sana ambalo limeligharimu taifa letu ndio maana mpaka sasa tuna umaskini mkubwa sana. Maana nchi yetu haina wachumi wazuri wanaoweza kushauri vipaumbele vinavyoweza kubadili...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wasalaam wanaJF, Kwanza nianze kwa kujisemea kuwa binafsi sio muumini wa chama chochote cha siasa ila siasa ni maisha yangu. Kwa mambo yanayoendelea hususani kwa hawa viongozi wetu wa vyama...
8 Reactions
58 Replies
4K Views
Ndugu Paul Makonda Ukuu wa mkoa ndio ulikuwa unampendeza na kumpa mamlaka ya Nguvu kuliko huo Ubunge anaouhitaji, Japokuwa Ukuu wa Mkoa ni nafasi inayotegemea mteuaji ameamkaje kwa siku...
20 Reactions
132 Replies
14K Views
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema hakuna taarifa yoyote iliyoifi kia baraza hilo na taasisi zingine zinazohusika na masuala ya ibada ya Hijja kwa mwaka huu iliyotolewa na wizara...
4 Reactions
152 Replies
14K Views
Habari kuu katika gazeti la The Citizen la leo linasema kuwa vyanzo vyao vimethibitisha - paai na shaka - kuwa ACT wazalendo kitajiunga na serikali ya umoja wa kitaifa. Vyanzo vimeliambia gazeti...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wachina wana mpango wa kutumia mbinu ya kufuta madeni yote makubwa ya nchi za umoja wa Africa mashariki ili kushinikiza kuchukua kimatumizi ziwa Victoria kwa miaka 231. Hii yote ni kwasababu ya...
3 Reactions
57 Replies
7K Views
Kuna maeneo nimesikia sikia maneno ambayo yanahusu urais wa zanzibar ujao, maana Shein anamaliza mda wake, Wanatajwa kina Vuai, kina Hussein Mwinyi, hata karume mdogo anataka kujitosa huko, kuna...
4 Reactions
88 Replies
13K Views
Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni. Na pia kama yale yote anayoongea...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri Ummy Mwalimu ameitaka Hospitali ya Taifa, Muhimbili kutotow kibali kwa wagonjwa kwenda kutibiwa nje (rufaa) hata kama ni wanasiasa iwapo uwezo wa kuwatibu upo. Waziri ameyaongea hayo baada...
11 Reactions
170 Replies
20K Views
Chama cha Mapinduzi kiliahidi Wananchi ahadi kedekede mwaka 2015 kupitia Ilani yao. Hata hivyo utekelezaji wa Ilani Katika miaka 5 ni 31% tu hivyo kupata alama D. Baadhi ya maeneo ambayo CCM...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours...
2 Reactions
79 Replies
8K Views
Dodoma. Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema ili mbunge aweze kutibiwa nje ya nchi kwa gharama za Bunge anapaswa kuwa na vibali vitatu; kibali cha Bunge, Hospitali ya Taifa Muhimbili na Rais John...
7 Reactions
203 Replies
20K Views
Hakuna Sababu ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutenga Budget kubwa ya kununua Grader ikiwa kuna Maeneo Ndani ya Manispaa ya Morogoro kuna uhitaji wa Maboresho ya zahanati, Madarasa na...
0 Reactions
7 Replies
907 Views
Maelezo ya Waziri wa habari na teknolojia Dr.Faustine Ndugulile siyaelewi. Anaposema serikali inatarajia kudhibiti simu za WhatsApp,sababu simu za WhatsApp zinachangia hasara kwa makampuni ya...
15 Reactions
87 Replies
9K Views
Siasa ni mchezo mchafu, siasa ni uadui na vita, siasa sio nzuri. Hayo ni baadhi ya maneno nimeanza kuyasikia kitambo sana hadi leo. Mwanzoni nilikuwa naamini hivo pia, sikuwahi kufatiria kwanza...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns...
17 Reactions
496 Replies
97K Views
Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema hatua ya Kenya kukataa mahindi ya kutoka Tanzania ni kinyume cha utaratibu wa makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kibiashara. Utaratibu wa...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Back
Top Bottom