Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

Dawa ya muongo ni ndogo. Akisema uongo, kanusha kwa ukweli.

Akisema Magufuli yupo hospitali Nairobi, muoneshe Magufuli huyu hapa yuko Ikulu Tanzania hayupo hospitali Nairobi.

Kwa nini serikali ya Tanzania haikanushi uongo kwa kuweka ukweli wazi?
 
Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki.
Mfano People Daily online hasa la leo.

Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
Habari za uongo walizoandika ni zipi mkuu?maana mimi nipo namtumbo huku sijui hao nchi jirani wameansika nn &maana ulivyoandika utazani wote tupo karibu na nchi jirani
 
Back
Top Bottom