Unajua taratibu za Mahakama kumuamuru Mkuu wa Majeshi hayo unayosema mkuu!!??hakuzusha kifo bali alisema jamaa alipewa sumu.Hivi kwanin mahakama haikuamuru jamaa apimwe kama ana sumu yoyote ili kuona kama ni kweli
kweli umenikumbusha ndugu, ilisambaa kuwa aliwekewa sumu kwenye ac ya gari, hilo swali lako kwakweli sina jibu lake!hakuzusha kifo bali alisema jamaa alipewa sumu.Hivi kwanin mahakama haikuamuru jamaa apimwe kama ana sumu yoyote ili kuona kama ni kweli
hahahahaaaaa#Huyu jamaa aliachiwa coz ni familia moja na Davies Mwamunyange na sasa iv yupo chuoni (DIT)anasoma uandishi Umeme chezea mfumo ww utalala doro!
kwahiyo yeye aliripoti kama ndugu wa karibu aliyeguswa na tukio lile kama alivyodhani, si ndiyo?#Huyu jamaa aliachiwa coz ni familia moja na Davies Mwamunyange na sasa iv yupo chuoni (DIT)anasoma uandishi Umeme chezea mfumo ww utalala doro!
Huyo jamaa hajaachiwa huru mkuu. Aligusa sehemu nyeti sana.kwahiyo yeye aliripoti kama ndugu wa karibu aliyeguswa na tukio lile kama alivyodhani, si ndiyo?
Hawa jamaa huwa wana Mahakama Yao ya Kijeshi inaitwa Court Martial. Huwa wanatumia mfumo unaoitwa The Uniform Code of Military Justice. Ina maana mwanajeshi hawezi kushtakiwa au kuamuriwa na Mahakama za kiraia. Ila Raia unaweza kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi kutoka na makosa yako.mimi binafsi sijui, unaweza kufunguka mkuu
kwahiyo yeye aliripoti kama ndugu wa karibu aliyeguswa na tukio lile kama alivyodhani, si ndiyo?
Ilikuwa anatafuta ujiko kwenye mitandao za kijamii!!
Mkuu,ile kesi imetupwa kapuni, kwani kesi ya Yericko au wale vijana wa chadema wa IT umesikia kesi zao??
kesi zimefutwaa
nimepata kitu hapa, kwahyo dogo alishtakiwa ktk mahakama ya kijeshi au kiraiaHawa jamaa huwa wana Mahakama Yao ya Kijeshi inaitwa Court Martial. Huwa wanatumia mfumo unaoitwa The Uniform Code of Military Justice. Ina maana mwanajeshi hawezi kushtakiwa au kuamuriwa na Mahakama za kiraia. Ila Raia unaweza kushtakiwa kwenye Mahakama ya Kijeshi kutoka na makosa yako.
Mahakama ya Kijeshi mkuu.nimepata kitu hapa, kwahyo dogo alishtakiwa ktk mahakama ya kijeshi au kiraia