Nimefatilia maandiko mengi ya Askofu Mwamakula kuhusu Rais Magufuli. Nimependa kumwambia ameibuka kuwa mtaabishaji wa nchi hii na kwasababu analitaja Jina la Jehovah basi Mkonoa wa Jehovah utaamua...
Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema siku maalim Seif alipofariki yeye alikwenda hospitali asubuhi na kuelezwa maendeleo ya mgonjwa.
Anasema ilipofika...
"Bila Ujasiri na Umoja wa Dhati hawa jamaa lazma wataendelea kutupiku lakini niwashukuru vile vile kwa kukubali kubeba lawama juu yangu wako waliosema huyu ni mgonjwa na atakufa bado mlinipigia...
Wana JF
Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja...
Duniani wanaitwa wasomi, Afrika wanaitwa wasomi ila Tanzania nachelea kuwaita wasomi.
Endapo Mawakili mtashindwa kuungana nakupigania Uhuru wenu basi kitambo kidogo mtapigania kutoka gereza la...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kambi rasmi ya upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe amesema Mhe.Lissu ameumizwa vibaya na yuko katika hali mbaya tangu saa 4 asubuhi hadi sasa yupo kwenye...
Huyu ndiye mgombea Urais wa CCM aliyenivutia kwenye uchaguzi wa 2015 , zipo tetesi kwamba mwaka huu alishajipanga kuchukua tena fomu , lakini amekatishwa tamaa na utaratibu wa CCM.
====
Mkulima...
Wakati baba wa taifa alipoanza kuugua ilitolewa taarifa na vyombo vyote vya habari vilitangaza.
Siku anatolewa butiama kuletwa Dar, taifa lilifahamu wazi, na siku anasafirishwa uingereza vyombo...
My Tanzania and It's Future
Structural Adjustment Policies are economic policies which countries must follow in order to qualify for new World Bank and International Monetary Fund...
Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani.
Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza...
Structural adjustment programs attempt to correct economic imbalances and improve efficiency of developing and transitional economies, thereby setting the state for further development. David Reed...
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, ndugu Aron Titus Kagurumjuli
Mkurugenzi mpya atateuliwa baadaye.
Maendeleo hayana vyama!
Walisema Lowassa ni mgojwa muda wowote atakuwa RIP na wengine kudiriki kusema hatuwezi kupeleka maiti Ikulu.
Cha ajabu zaidi ya nusu ya waliokuwa mstari wa mbele kutamka meno ya mgonjwa nao...
Tanzania ni nchi huru yenye mihimili 3. Bunge, Mahakama, na Utawala. Hivi karibuni tumeona mihili hii isivyo na nguvu na mhimili mmoja kuendesha mihimili mingine. Mf. Bunge kuendeshwa na Serikali...
Mabibi na mabwana itakuwa ni kujifariji kuwa pamoja na changamoto nyingi zikiwamo za kupumua kuwa baada ya 27th Feb hapana mageni ambayo siku za nyuma hayakuwapo.
Kumbukeni hata mafuta ya magari...
Ndugu zangu Watanzani, leo nimekuwa na tafakuri ndefu sana kuhusu nchi yangu, wakati nafsi ikielekea kulalamika juu ya hali halisi ya maisha yaliyopo mtaani, nikiwa kwenye chumba changu mwenyewe...
Nimpongeze Mhe. Rais kwa kuamua kukaa chini na kufanya kazi za ofisi ikiwemo kuhakikisha mambo nyeti yaliyokuwa yanasimamiwa na Marehemu Balozi Kijazi yanakabidhiwa kiutaratibu kwa mrithi wake...
Mambo yanaenda hayaendi.
Wapo watu kasi imewashinda, tathimini imekamilika na kinachofuata ni kauli ya tupishe wenye kasi zaidi wakalie viti.
Tunategemea panguapangua siku si nyingi kutoka juu...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea...
Nchi hii sasa karibu iwe jehanamu, hakuna raha! Viongozi wetu kutwa kucha wanahubiri vitisho hawataki tufurahi, tupashane habari, tuelimishane! Viongozi wetu wanataka tuwe mabubu, tujikunyate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.