Polisi Tanzania wamfuatilia Abu Yasir Hassan anayesakwa na Serikali ya Marekani kwa ugaidi Mozambique

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,291
24,170
Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo la Cabo Delgado kaskazini mwa Mozambique ambapo kumekuwepo na matukio ya kigaidi.
03/10/2021
Body

SPECIALLY DESIGNATED NATIONALS LIST UPDATE​

The following individuals have been added to OFAC's SDN List:​

HASSAN, Abu Yasir (a.k.a. "HASSAN, Yaseer"; a.k.a. "QASIM, Abu"), Pwani Region, Tanzania; Cabo Delgado Province, Mozambique; DOB 1981 to 1983; nationality Tanzania; Gender Male (individual) [SDGT] source : Burma-related Designations; Counter Terrorism Designations and Designations Updates; Global Magnitsky Designation Update; Democratic Republic of the Congo Designation Update | U.S. Department of the Treasury

Polisi wa Tanzania wanafuatilia ripoti kuwa serikali ya Marekani imemuwekea vikwazo mtanzania Abu Yasir Hasan Designation of Abu Yasir Hassan as a Specially Designated Global Terrorist State Department Terrorist Designations of ISIS Affiliates and Leaders in the Democratic Republic of the Congo and Mozambique - United States Department of State kwa kuhusika kwake na ugaidi unaoendelea jimbo la Cabo Delgado Mozambique.

Wizara ya Nchi (State Department) inayotambulika kama Wizara ya Nje ya Marekani kupitia waraka aliosaini waziri Antony J. Blinken umetoa tangazo kuwa mtanzania huyo Abu Yasir Hassan ni mtu hatari anayeongoza ugaidi duniani.

Waraka huo wa serikali ya Marekani umetamka pia unazuia mali zote za Abu Yasir Hassan pamoja na mitaji inayomilikiwa na bwana Abu Yasir Hassan na zile za kikundi cha ISIS-Mozambique.

Waraka huo wa wizara hiyo uliotolewa 11 March 2021 unasomeka hivi hapa chini Designation of Abu Yasir Hassan as a Specially Designated Global Terrorist

Designation of Abu Yasir Hassan as a Specially Designated Global Terrorist​

Acting under the authority of and in accordance with section 1(a)(ii)(B) of Executive Order 13224 of September 23, 2001, as amended by Executive Order 13268 of July 2, 2002, Executive Order 13284 of January 23, 2003, and Executive Order 13886 of September 9, 2019, I hereby determine that the person known as Abu Yasir Hassan, also known as Yaseer Hassan, also known as Abu Qasim, is a leader of Islamic State of Iraq and Syria—Mozambique, a group whose property and interests in property are blocked pursuant to a determination by the Secretary of State pursuant to Executive Order 13224.

Consistent with the determination in section 10 of Executive Order 13224 that prior notice to persons determined to be subject to the Order who might have a constitutional presence in the United States would render ineffectual the blocking and other measures authorized in the Order because of the ability to transfer funds instantaneously, I determine that no prior notice needs to be provided to any person subject to this determination who might have a constitutional presence in the United States, because to do so would render ineffectual the measures authorized in the Order.

This notice shall be published in the Federal Register.

Authority: E.O. 13224, 66 FR 49079, 3 CFR, 2001 Comp., p. 786.

Dated: March 1, 2021.
Antony J. Blinken,
Secretary of State.
 
Wamarekani wamemjua huyo mtuhumiwa kabla ya jeshi letu la polisi, naamini hawa jamaa hata tukiwauliza maswali mengine yanayotuumiza vichwa sasa hivi pia watatupa majibu.
Nadhani wao ndio kigogo mwenyewe.
 
Ni mtanzania??
Translator ni wewe mleta uzi huu, utanzania wake umeandikwa wapi?? English version hakuna uraia uliotamkwa, unamjua au unataka kuwapoteza maboya Wamarekani??

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Wamarekani wamemjua huyo mtuhumiwa kabla ya jeshi letu la polisi, naamini hawa jamaa hata tukiwauliza maswali mengine yanayotuumiza vichwa sasa hivi pia watatupa majibu.
Marekani hakuna chochote wasichokijua hapa dunian 24/7 🤣 🤣
 
Marekani hakuna chochote wasichokijua hapa dunian 24/7 🤣 🤣
Juzi tetemeko Mara huko wabongo hatuelewi wao dk sifuri tiyari, walishapost mpaka epicentre, madhara tarajiwa, tahadhari za kuchukua!
Beberu ni beberu tu aisee!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom