Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi...
Kipindi cha jk sikuwahi kusikia majigambo mengi sana na sidhani kama hiki cheo cha msemaji mkuu wa serikali kilikuwepo kama kilikuwepo basi very strategic na scienrific siyo hili lijamaa la leo...
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania).
Nijuavyo ni kwamba Muungano...
Habari hii imechapishwa kwenye gazeti la Habari Leo na pia mara mbili hivi karibuni gazeti la Raia Tanzania limemhusisha padre huyu kufanya mikutano ya siri Dr Slaa. Perhaps lengo ni kumfanya Dr...
Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi...
Nimeona Picha na video zikisambaa Mitandaoni kuwa Asenga DAS wa Rombo kafikisha picha ya JPM Uhuru Pick kisha akampa MwanaFa na vijana wengine wapige nayo picha wakishangilia.
Wakati watoto wetu...
Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia...
SHANGAZI FATMA KARUME'S OPINION ON PRESIDENT'S POWER TO CONFER THE MUNICIPALITY STATUS OF THE CITY WAS GIVEN PER INCURIAM.
PART 1: GENERAL OVERVIEW.
President, John Pombe Magufuli in early hours...
Habari wadau..!
Leo kwenye mahojiano ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye mahojiano katika kipindi cha dakika 45 kinachoendeshwa na mtangazaji Farhia Middle wa ITV amegusia kuhusu suala...
Kwa kuwa JF ilianzishwa kwa minajili ya kuelimishana, kuhabarishana na kufundishana, mimi leo nawaletea neno moja muhimu sana.
Haiti ni nchi yenye historia ndefu na unaweza kusema tunafanana kwa...
Kwema wana bodi
Waziri mkuu alipotua uwanja wa ndege nduli aliongea na viongozi wa mkoa waliokua wameenda kumpkea. RC Hapi ulijitamba kwa mbwembwe kua wewe ni mzee wa field upo vizuri na hamna...
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais...
Waziri wa Madini, Dotto Biteko amezitaka mamlaka zinazohusika na ukaguzi katika lango kuu la Madini ya Tanzanite Mererani, kuachana na upekuzi unaodhalilisha badala yake waangalie namna bora...
Mungu amewabariki mmepata mtoto. Mkamwita jina ambalo limewapendeza kama wazazi. Watu wanapokuja kuwasalimia mnawaeleza jina la mtoto wenu. Taratibu jina linakua na hatimaye mtoto mwenye jina...
Anaandika Mbunge wa Jimbo Kigoma Zitto Kabwe.
Naikumbusha Serikali ya Rais MagufuliJP kuwa nchi inaendeshwa na Katiba na sheria. Leo ama Wafanyabiashara wanunuzi wa Korosho watatii vitisho vya...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji mwishoni mwa wiki iliyopita.Kulia nia...
TUJENGE NCHI YETU, WAO WAPO KAZINI TUSIUMIZE VICHWA
Hii ni Vita Kati ya Wezi wa madini yetu na Watetezi wa Madini yetu
Hii ni Vita Kati ya wanaotaka kuingiza chanjo ya corona ya Majaribio na...
Kuna vijana wengi wahitimu wanaitwa usahili kwenye mashirika ya umma na halmashauri zetu kisha kuwekwa utumishi kwa mpango wa intenship.
Unakuta kijana anatumikishwa miaka hadi minne bado kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.