Kipanya na hatma ya viboko

Kipanya na hatma ya viboko

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,412
Reaction score
98,633
Msanii maarufu wa katuni hapa nchini ndugu Kipanya leo amekuja na hatima ya viboko hapa nchini.

Je, nikweli kuna siku hata wanao wapiga viboko wenzao leo hii kuna siku na wao watatandikwa?

Huyo hapo ni waziri,anajiandaa kutandikwa na wenye nguvu.

20210105_202138.jpg
 
Wakiwamaliza wale watakuja huku, kwa hiyo kujiandaa kisaikolojia ni muhimu lolote laweza kutokea awamu hii
 
Kipanya hafai cha ajabu hadi sasa bado yupo fit
CCM inajua NYUMBU kama nyinyi iende nayo vip hivyo si rahisi kufanya chochote kwa KIPANYA.

HII NI SIRIKALI ILA UNAMJUA MAGUFURI TU.
 
Back
Top Bottom