Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama. Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli...
17 Reactions
33 Replies
5K Views
Wana bodi, Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza tiuanze Kwa kuuweka ukweli wazi kabisa Hawa wakifa Mimi sitakuja kujipendekeza eti hawana wa kuziba pengo Lao, Kusema wakifa aimaanishi lazima wanitangulie maana hata Mimi naweza...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao. Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na...
48 Reactions
185 Replies
18K Views
Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na...
31 Reactions
65 Replies
10K Views
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya viongozi hasa wakuu mbalimbali wa taasisi, idara na vitengo, nk. wakatumia huu ukimya wa Rais kupora mali kwa kisingizio cha kutumwa na Rais ama wakapora kinyume...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Marehemu Hugo Chavez alikuwa kiongozi anayefaa na kama hapa Tanzania tungekuwa na kiongozi kama Hugo Chavez tungefurahia kuwa Watanzania. Leo hii hili taifa lina kila aina ya rasilimali ambazo...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu waTanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake walipomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu...
2 Reactions
70 Replies
14K Views
Usiku huu, Aloyce Nyanda (Mtozi) amekuwa na kipindi muhimu katika Star TV usiku huu. Agenda Kuu ilikuwa ni Maadili ya Uandishi wa Habari kufuatia Vyombo vya Habari vya mataifa mengine kuripoti...
21 Reactions
50 Replies
8K Views
Hebu itazameni na nyie hiyo mimbari aliyoitumia Mama Samia Hassan. Iko na muonekano wa hovyo. Imechokachoka. Haina nembo ya ‘Makamu wa Rais’. Mzee Mwanakijiji aliwahi kulizungumzia jambo hili...
13 Reactions
61 Replies
9K Views
Kila eneo analopita waziri wa afya Dkt. Gwajima katika ziara zake mikoani ni vilio tu, wananchi wanalalamikia Huduma hafifu, uhaba wa dawa nk. Kiukweli hii wizara ina madudu mengi sana na sielewi...
12 Reactions
120 Replies
11K Views
Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo wa propaganda za kisiasa za kupika dhidi ya wagombea wa urais wa UKAWA kupitia CHADEMA yameelezwa mengi kwa lengo la kumchafua na kumdhoofisha...
21 Reactions
112 Replies
18K Views
Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye...
9 Reactions
81 Replies
10K Views
Ndugu Nape alipohojiwa kuhusu vuguvugu la kumuongezea Rais Magufuli muda wa utawala wake amesema haya yafuatayo. 1. Kwanza anashangazwa na kwamba ndiyo kwanza miaka mitano ya muhula wa pili wa...
21 Reactions
104 Replies
11K Views
Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda. Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu. Kama kuna...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Lissu kama alijua kwamba ni mgonjwa kwanini aingilie masuala ya siasa kabla hajapona? Siasa zote duniani zimesheheni watu wa aina mbali mbali na sifa mbalimbali, hasa linapokuja kwenye ishu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Lengai Ole Sabaya leo atakua live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda kimachorushwa Live kwanzia saa 3:30 mkapa saa 4:30 usiku Mengi yamezungumzwa ,Mengi yamezushwa ni wakati sasa wa...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo! Ama kweli, hawakukutana barabarani
39 Reactions
238 Replies
23K Views
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA. Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo...
17 Reactions
298 Replies
31K Views
MORE MAGUFULI,MORE REFORMS, TUMUONGEZEE MUDA MAGUFULI. Leo 16:15pm 10/06/2020 Maelezo ama narrative ya viongozi wengi awamu ya tatu na nne zilikuwa zina-reflect namna ya kugawana mapato ya Taifa...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom