Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua. Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo...
40 Reactions
111 Replies
11K Views
Kuna mawaziri hawajui majukumu yao hadi sasa. Enzi za kina Mahiga waziri wa mambo ya nje na waziri wa katiba na sheria huwezi kuta anaongea takataka mahali popote. Napenda nimpongeze waziri wa...
20 Reactions
112 Replies
12K Views
Mimi ni Kati ya watu wanaomkosoa Sana mh JPM humu wakati mwingine nakuwa mkali mno kwa mh rais kwa hili anisamehe maana ndio hulka yangu nikiwa na Jambo silielewi. Lakini nakiri wazi Kuna Mambo...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Bunge la Tanzania limekanusha kujihusisha na Asasi ya utoaji mikopo ya Focus Mikopo, ikiionya kwa kitendo cha udanganyifu na uvunjifu wa Sheria za Nchi Kauli ya Bunge inakuja kufuatia kusambaa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Lipo tatizo likuporomoka kwa kasi kwa hadhi ya wakuu wa Mikoa na Wilaya. Nikifuatilia siasa za nchi hii nakufanya tathimini ya ubora wa nafasi za juu katika utumishi wa Umma naweza kusema kwa...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu wakati Taifa letu likiwa tulivu kabisa baada ya wananchi kuombwa wawe na mshikamano , basi kule BAWACHA nako mambo yanazidi kusogea kimya kimya . Mh Suzan Kiwanga mbunge wa zamani wa Mlimba...
9 Reactions
64 Replies
7K Views
Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa...
28 Reactions
93 Replies
14K Views
Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na...
10 Reactions
67 Replies
6K Views
Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Wanajamvi, Amani ya bwana iwe nanyi! Nianze kwa kumpongeza sana Rais Magufuli kwa kazi njema anayofanya katika suala hili la kupambana na wahujumu uchumi, wakwepa kodi na wale wote wenye matumizi...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
This means "MAKE TANZANIA GREAT AGAIN" kwanza naomba ni declare interest kuwa mm ni Mtanzania nliezaliwa ukoo Vijijni mwishoni mwa miaka ya 80, yaan "late 1980s. Natamani kuwauliza mlioko kuwepo...
7 Reactions
95 Replies
19K Views
KWANINI WAKENYA HUMSIFIA RAIS MAGUFULI? Na Thadei Ole Mushi Tumekuwa tukiona Mara kwa Mara Prof Lumumba wa Kenya akimsifia Sana Rais Magufuli. Watu wengi hujiuliza kanunuliwa? Au ana interest...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Nyamagana mkoani Mwanza kimefanya uchaguzi wa kuziba nafasi ya Mwenyekiti wa Wilaya, Philipo Magoli, ambaye alifariki dunia mwaka jana. Uchaguzi huo umefanyika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taifa limepita wakati mgumu sana wa maneno yasiyo na ukweli ndani yake "minong'ono". Wakati hii minong'ono inaendelea nilitegemea na ninategemea Wataalamu wetu wa intelligence walijielekeza zaidi...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Kwa wanaosema dawa za mebebeu ni za kutuua nauliza kwanini Serikali inatumia billion 200 za kitanzania kila mwaka kuagiza dawa ambazo zimegunduliwa na mabeberu. Nyingi zinatoka India lakini hizi...
13 Reactions
68 Replies
5K Views
Kipindi cha jk sikuwahi kusikia majigambo mengi sana na sidhani kama hiki cheo cha msemaji mkuu wa serikali kilikuwepo kama kilikuwepo basi very strategic na scienrific siyo hili lijamaa la leo...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanaojua masuala ya uongozi wa nchi zetu Zanzibar na Tanganyika wanisaidie juu ya haya Mawasiliano baina ya Marais wetu Dk. Hussein Mwinyi na Dk. Magufuli (Tanzania). Nijuavyo ni kwamba Muungano...
13 Reactions
73 Replies
8K Views
Habari hii imechapishwa kwenye gazeti la Habari Leo na pia mara mbili hivi karibuni gazeti la Raia Tanzania limemhusisha padre huyu kufanya mikutano ya siri Dr Slaa. Perhaps lengo ni kumfanya Dr...
1 Reactions
53 Replies
7K Views
Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi...
8 Reactions
64 Replies
10K Views
Back
Top Bottom