Mama Samia: Tulikuwa tunakulaani Rais ila kumbe ulikuwa unatunyoosha!

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,051
12,560
Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye wakaelewa kumbe alikuwa anawanyoosha!

Hii kauli imenikumbusha mbali kidogo, kwa wale mnaokumbuka kuna kipindi kulikuwa na tetesi miaka ya nyuma za Mama Samia kutaka kujiuzulu. Ilizua mjadala sana humu JF lakini baadaye ikapotea!

Sasa nimeamini katika kumlaani huko aliamua kujiuzulu kabla ya washauri kumtuliza na kuamua kuendelea na majukumu yake!
Pitia hapa:

Mbona JPM alisema tangu ileee kitambo kampeni zake za 2015 kwamba uongozi wake ungekuwa so different, so special, so unpredictable kwa vigezo vya zamani vya kimazoea, na kwamba ambao wangeufaidi uongozi wake ni wapenda-maendeleo na wazalendo wa kweli. Asante sana kama nawe umemwamini Dkt. wa Sayansi & Siasa. Na bado! Endelea sana tu kufuatilia hotuba zake. Mwache Mr Mzungu na Bob wake waendelee na Aisiisii yao huko.
 
Mbona JPM alisema tangu ileee kitambo kampeni zake za 2015 kwamba uongozi wake ungekuwa so different, so special, so unpredictable kwa vigezo vya zamani vya kimazoea, na kwamba ambao wangeufaidi uongozi wake ni wapenda-maendeleo na wazalendo wa kwelo. Asante sana kama nawe umemwamini Dkt. wa Sayansi & Siasa. Na bado! Endelea sana tu kufuatilia hotuba zake. Mwache Mr Mzungu na Bob wake waendelee na Aisisi yao huko.
Kumbe ni kweli huyo mama alitaka kujiuzulu!
 
Sasa ni dhahiri na jamaa amejipanga kuwafokea zaidi maana mambo hayatakwrnda km anavotaka. Serikali haina hela huku kaiingiza nchi kwenye mitadi mikubwa na mikopo mikubwa...
China inategemea kuingiza dollars za kutosha. US inataka kupiga spana kuwazuia. But no way!
 
Kwa mliosikia hotuba ya leo ya Mama Samia Suluhu, ametoboa siri ya miaka miwili ya mwanzo kama Makamu wa Rais! Amesema yeye na Waziri Mkuu walikuwa wanamlaani Magufuli kwa kuwakemea lakini baadaye wakaelewa kumbe alikuwa anawanyoosha!

Hii kauli imenikumbusha mbali kidogo, kwa wale mnaokumbuka kuna kipindi kulikuwa na tetesi miaka ya nyuma za Mama Samia kutaka kujiuzulu. Ilizua mjadala sana humu JF lakini baadaye ikapotea!

Sasa nimeamini katika kumlaani huko aliamua kujiuzulu kabla ya washauri kumtuliza na kuamua kuendelea na majukumu yake!
Pitia hapa:

Kazi ya umbea inatupa nafasi za juu sana Watanzania
 
Sasa ni dhahiri na jamaa amejipanga kuwafokea zaidi maana mambo hayatakwrnda km anavotaka. Serikali haina hela huku kaiingiza nchi kwenye mitadi mikubwa na mikopo mikubwa...
Jamani hii sijawahi kuona! Nchi nzima kila mtu anajaribu kumwabubudu Magufuli. Siku hizi uwe mfanyabaishara, uwe kiongozi, uwe msanii au mgonjwa ukitaka usikilizwe au ufanikiwe basi usisahau kuongeza maneno kama ''ukizingatia juhudi kubwa za mheshimiwa Dr John Pombe Magufuli za kuleta maendeleo...''
 
Back
Top Bottom