Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa...
17 Reactions
54 Replies
6K Views
Mabibi na mabwana sisi ni taifa na kama taifa cheo ni dhamana tu. Kiongozi yeyote kwa uongozi wake ni muhimu akazingatia ukweli kuwa kwa dhamana aliyo nayo si kuwa sasa eti ndiyo anayo fursa...
24 Reactions
73 Replies
7K Views
Hili swali limenijia ghafla wakati tunaendelea kuomboleza Kifo cha Rais Magufuli. Kutokana na ukweli kuwa Uchaguzi uliofanyika mwaka Jana umeacha majonzi makubwa Kwa Viongozi na wafuasi Wa Vyama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha. Wanasema nani mwenye kumfunga...
48 Reactions
258 Replies
26K Views
Tumepata shida hii tena, lakini bila shaka maisha ya watanzania ni lazima yaendelee pamoja na kuwapoteza wapendwa wetu. Tusilie sana kama vile watu tusiokuwa na matumaini. Tuchanganye yale yote...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Hakuna siri tena. Leo tarehe 30:03:2018, saa tisa kamili (9:00) alasiri, saa ambayo Bwana Yesu Kristo alikata roho msalabani, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika muda ule ule, Paul Makonda...
106 Reactions
449 Replies
51K Views
Hili ni andiko fupi lenye kuiona Nuru. Ni andiko lililoiona mbele kwa uwezo wa bwana Mungu wa majeshi. Wafalme wameipotosha sheria. Makuhani wameisaliti haki. Bwana aonaye sirini ameamua...
13 Reactions
14 Replies
1K Views
Makamu wa Rais kisheria kwa mujibu wa Ibara 37(5) ataapishwa kuwa Rais kwa kipindi kilichobakia ambacho ni takribani miaka minne. Katiba Ibara 40(4) kinasema, Endapo Makamu wa Rais anashika kiti...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu. Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Ninawapa tu angalizo na kwamba wajiandae kisaikolojia. Najua wako wengi lakini ukweli lazima tuukubali kwa sababu kila zama na kitabu chake na sasa tunaingia katika msimu mpya katika mazingira ya...
25 Reactions
95 Replies
8K Views
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Padri Cephas Mgimwa amefariki leo katika Hospitali ya Teule ya Tosamaganga Iringa Makamu Mkuu wa Chuo amesema katika tangazo la...
5 Reactions
29 Replies
7K Views
Ulishawahi kusikia hadithi kwamba kuna wakati Waarabu walipata watumwa kirahisi kwa kutoa shanga na vioo kwa machifu wetu? Na pia kuna habari kwamba walitumia tende, wakawaonjesha watu tende...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
9 Reactions
36 Replies
5K Views
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza: Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia. Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo. Maendeleo hayana vyama!
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu yake katika awamu ya nne, Rais Kikwete aliweza kujenga mshikamano kwa Watanzania kwa asilimia kubwa jambo ambalo kwa sasa hivi limepungua sana. Uchumi ulizidi kuimarika, deni...
27 Reactions
135 Replies
13K Views
Siku ikitokea kuwahamisha hawa wa Machinga basi Police waje wajiandae kwa Mabomu ya machozi ya kutosha. Kadri muda inavyo songa mbele ndio swala la kuja kuwahamisha litakavyo kuja kuwa gumu mno...
20 Reactions
48 Replies
4K Views
  • Closed
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo, Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama...
4 Reactions
151 Replies
22K Views
Wizara ya mifugo na uvuvi imetetea uamuzi wa kuchoma vifaranga kwani ni utaratibu unaotambulika kimataifa na kwa mujibu wa sheria namba 17 ya sheria ya wanyama ya mwaka 2003 imechukua uamuzi huo...
5 Reactions
200 Replies
18K Views
Mimi binafsi na CUF- Chama Cha Wananchi tumepokea kwa masikitiko makubwa Taarifa ya Kifo cha Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli kilichotokea jana Machi 17, 2021 saa 12:00 jioni kutokana na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na...
8 Reactions
242 Replies
30K Views
Back
Top Bottom