Picha: Kikwete na Rugemalira wa VIP Engineering hawajakutana barabarani

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,873
Ruge (mwenye suti nyeusi) akiwa kamshika mkono enzi hizo!

Ama kweli, hawakukutana barabarani

1418462302293.jpg
 
Mnazunguuka saaaana, Semeni kwa Herufi kubwa kwamba Kikwete ni Ukoo wa Panya na Mwizi yeye Familia, ukoo wake pmj na Marafiki zake!

Lakini Watu tukiandika Hapa kwamba Kikwete ni mwizi mada inafutwa ama unafungiwa, lkn Ukimwita Lowasa Fisadi ni sawa, ukimwita sijui Chenge fisadi hamna shida lkn Ukiandika Kikwete ni Mwizi ni ishu sasa ni kwanini au ndio Kinga ya Uraisi mpaka kwenye Internet?
 
Huo ndo ukweli, hao ndo wabia kwenye IPTL. Sarakasi zote hizi ni kujaribu kufichana. 2016 tutakuwa huru zaidi kujadiri mada hii!!
 
Sidhani kama kuna binadamu anayeweza kujitenga na binadamu wenzake halafu huyo huyo akaja kuwa kiongozi wa binadamu wenzake, lazima uishi katika dunia, nashangazwa sana na binadamu wanaojaribu kuishi katika dunia ya kusadikika kwamba wao hawana mawaa yoyote, unaweza kuwa na rafiki mtumia kilevi lakini wewe usiwe mtumiaji wa hicho kilevi ukawa unatumia kitu kingine tofauti,

sioni ajabu mtu fulani kupiga picha na fulani, sio lazima wawe washirika katika kila kitu, ni ajabu sana kuanza kuimplicate watu wengine kwa mambo fulani simply kwa picha tu, kama ni hivyo basi watanzania natusibirie rais ajaye atoke mars ambaye huyo hajawahi kuwa na ukaribu na binadamu wengine maana huyo hata kuwa na picha au watu wa kumhusisha nae.
 
Kunawakati wazee fulani walijaribu kunihamasisha kufaidi matunda ya neema ya Tajiri fulani, nikawaambia ndege wanao fanana huruka pamoja, nilichokisema kwao nilimaanisha sifanani na tajiri yule, si kwa ajili ya utajiri wake bali ni kwa namna utajiri wake na matendo yake yasivyo halali machoni pangu na kwenye macho ya jamii inayotuzunguka..

Sasa vijana wa rika la Rais Jk sasa wazee, waliipokea ile theory ya IF U CANT DEFEAT THE M JOIN THEM, kisha kitaeleweka baadae...bila pia kuangalia time ya kujitoa Raia wataweza kujua hili ni Tope na hii Ni ALMAS ambayo iliitaji kupitishwa kwenye maji yenye mchanganyiko wa tope na kuibua kito cha thamani na ndipo USTAARABU [CIVILIZATION] unaposhika na umma unakua umepiga hatua moja kwenda nyingine.

Haya chacha wanataka kusema Maharage,Njegere na Kunde zote dawa ya tumbo.....Kazi kweli kweli...ila tabia ya FUNGATE ni bora kuwa Moto au Baridi ili anaekusogelea akija anajua kabisa hili jamaa nikilifanyia hesabu za kichwa [MANIPULATION] hakika linaniondoa, hivyo, ata kama atakuja kwa kofia ya ukondoo akibugi kuingia kwenye Reli zako Ngozi yake halali yako yani ndio kusema anajua kabisa kuwa jamaa akifika the his/her degree of madness basi Wanangu Kwaherini...

Walijua kuwa jamaa NYOTA ishaanza kusimama hivyo wakawa pembeni unaweza kuona hata Lugha ya Mwili [BODY LANGUAGE].Advantage taken of the smileeeee, calculations wakati mwingine zinapigwa unajikuta wenzio wamejaza RUMBESA watu wakikuangalia pembeni WANAJUA na wewe pia unanukia HARUFU YA PILAU [Kumbe changa la macho] ukidinda unapigwa bonge ya BLACKMAIL kama huna uwezo wa kujisimamia wa SURA KAUZU na MATENDO inakuwa bonge ya KNOCK OUT ya Mwanakijiji unaenda pembeni wenzio wanapeta na wanarudi kwenye game anatafutwa mwingine wa kuongoza mpambano kwa style ile ile ya Wanasimba ndani ya ngozi ya Kondoo, huku kondoo halisi [Genuine] akiwa katangulizwa kama alama ya uaminifu na mwongozo.
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom