Siasa za Unafiki Tanzania,kila anayekufa eti hakuna wa kuziba pengo lake, Vipi Kwa Kambona?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kwanza tiuanze Kwa kuuweka ukweli wazi kabisa

Hawa wakifa Mimi sitakuja kujipendekeza eti hawana wa kuziba pengo Lao,

Kusema wakifa aimaanishi lazima wanitangulie maana hata Mimi naweza watangulia lakin ikitokea wakanitangulia sitaleta sita za Kinafiki,

Nani ataamka na kuwakemea wazee waliotuobia ?? Mbaya Zaid mnasubiria wafe ndo muwape sifa za kijinga???

Nakumbuka kidonda tulichoachwa na helà za Escrow, Richmond, Kagoda, Mchuchuma, alafu mtu anakufa mnaleta Unafiki kuwa hatapata mbadala?? Umbadala uo ni katika kuiba au kufanya vipi??

Namkumbuka Kambona alipokufa ilibidi wake kumuombea ruhusa kuona kama atazikwa nchini mwake, hakuna aliyasema kitu, na kumtetea wote kimya,

Kabla hawajafa hawa wazee walete helà zetu za

1.Richmond
2. Liganga
3. Mchuchuma
4. Kagoda
5. Escrow
6. Mashamba ya serikali
7. Uuzwaji wa Nyumba za serikali nao warudishe

Namalizia Kwa Kusema kizazi cha Tanzània ni cha aina yake
Wanasahau dakika mbili,

Nitakuwa na Update Uzi huu kila akifa mtu

Britanicca
 
mkuu dhana ya kusema kwamba pengo lake halitazibika maana yake ni kwamba, hata kama ikitokea vipi, hatutaweza kumpata mtu kama aliyetangulia mbele za haki bila kujali mazuri ama mabaya aliyoifanyia jamii yake.
vinginevyo suala la wizi wa mali zetu hata mimi nalikemea kwa nguvu zote.
 
Hahaha Britanicca unaharaka gani subiri wafe sisi tutaziba the so called mapengo yao tu, the dead can not lead.
Hahaha huoni ccm mpya hata waasisi wameisusa, requrement za kugombea mpaka utokee chadema au cuf, we are getting in, they are comming out. We are replacing them polepole,we are changing for better, just bare with us.
 
Wengine mapengo yao hayazibiki kwa kuwa wajinga wa toleo lao hawazaliwi tena.

Mfano mtu kawa Diwani,Mbunge,DC,RC,RPC,DED,Minister etc na hajaacha alama yoyote kote huko halafu unaambiwa pengo lake halizibiki!!

WTF are you talking about?
 
Hahaha Britanicca unaharaka gani subiri wafe sisi tutaziba the so called mapengo yao tu, the dead can not lead.
Hahaha huoni ccm mpya hata waasisi wameisusa, requrement za kugombea mpaka utokee chadema au cuf, we are getting in, they are comming out. We are replacing them polepole,we are changing for better, just bare with us.
Hehehe
 
Mkuu wala usipate tabuu sana binadamu hatufanani kwa vitu vyote labda baadhi tu
 
Kwanza tiuanze Kwa kuuweka ukweli wazi kabisa

Hawa wakifa Mimi sitakuja kujipendekeza eti hawana wa kuziba pengo Lao,

Kusema wakifa aimaanishi lazima wanitangulie maana hata Mimi naweza watangulia lakin ikitokea wakanitangulia sitaleta sita za Kinafiki,

Nani ataamka na kuwakemea wazee waliotuobia ?? Mbaya Zaid mnasubiria wafe ndo muwape sifa za kijinga???

Nakumbuka kidonda tulichoachwa na helà za Escrow, Richmond, Kagoda, Mchuchuma, alafu mtu anakufa mnaleta Unafiki kuwa hatapata mbadala?? Umbadala uo ni katika kuiba au kufanya vipi??

Namkumbuka Kambona alipokufa ilibidi wake kumuombea ruhusa kuona kama atazikwa nchini mwake, hakuna aliyasema kitu, na kumtetea wote kimya,

Kabla hawajafa hawa wazee walete helà zetu za

1.Richmond
2. Liganga
3. Mchuchuma
4. Kagoda
5. Escrow
6. Mashamba ya serikali
7. Uuzwaji wa Nyumba za serikali nao warudishe

Namalizia Kwa Kusema kizazi cha Tanzània ni cha aina yake
Wanasahau dakika mbili,

Nitakuwa na Update Uzi huu kila akifa mtu

Britanicca
sawa.
 
Back
Top Bottom