Uvamizi Clouds Media Group: Kamishna Sirro awataka wahusika wakaripoti polisi haraka

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
 
Wahalifu hapa ni Daudi Albert Bas'hite na askari wake!! Kwa staili ya Bas'hite; hawa ndio wanatakiwa kwenda kuripoti kwa Kamanda Sirro!!!

Bashite alikuwa anaenda kwenye live tv coverage na kuwataka watu wakaripoti central!! Leo watu wametumia Live TV Coverage na kuutaja uhalifu na uovu wa Bash'ite!!! Kwahiyo Bash'ite anatakiwa akaripoti kwa Sirro haraka sana!!!!!
 
Eh Bwana Eh!!!! We Bashite Weeeee! Vile vikombola ulizizochokonoa zote zishawaka na zinaelekea kwako hahaha! Tulikuambia kibri ni kitu kibaya sana, ungeomba radhi na ungeshika adabu toka mwanzo mambo yangekuwa freshi tu! You went to play Denzel, utatoka kama OJ! hahaha
 
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo polisi haraka.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Hero too late Kamanda.
Damage already done!
Mbaya zsidi Polisi ni sehemu ya tatizo, wale askari walitoka wapi?
Swala liripotiwe chombo tofauti cha usalama.
 
Du yaani kweli hapo ndiyo mwisho wa hekima yake? Sasa nimejua kwa nini ukipiga simu polisi umevamiwa wao wanakuja masas 2+ baadae. Tukio limeanza kuripotiwa tokea jumamosi hadi leo kamanda hajaanza hata uchunguzi wake.kama ulishindwa kukanusha umepokea hela za shisha leo utakuwa umepokea nyingi zaidi
 
Sirro yuko vizuri namkubali ila anafanya kazi na watu waliolewa madaraka wanamfanya kazi yake iwe ngumu,sipati picha Kova angekuwa bado kwenye hiyo nafasi nadhani angefurahi kwa vile ni alikuwa muuza sura
 
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Please, sign in the petition, and share to your friends huyu mtu aachie ofisi ya umma.

To sign the petition, follow the link below.
I just signed the petition: "PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!" Will you join me in supporting this issue? petition: petition: PAUL MAKONDA NEEDS TO GO NOW!!!!!
 
Back
Top Bottom