Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao.
Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa zinatumika hazikuanza ktk Taifa letu zilianzia Israel ndani ya idara zao za Usalama mossad. Ila tofauti ya matumizi ya hizi mbinu nikuwa wenzetu wanazitumia nje kulinda Taifa Lao. Dhidi ya maadui zao hasa ukizingatia adui wa Israel nijirani yake. Pia Israel ana maadui wa nje wengi Sana.
Pili wa Marekani hawa jamaa ni zaidi ya hatari chini ya idara Yao ya CIA wanafanya mission zakutisha Sana kiasi hata vile vi NGOs vya USAID usijevichukua poa hata siku moja. Ila mbali na hapo hawa jamaa wanaweza fungua hosp, maduka ya nguo vibanda vya spear ktk mataifa ya nje Ila wapo kikaz Zaid Yani ni sub contract wa CIA.
Tofauti ya hawa wenzetu wanalinda. Taifa Lao hawatumii hizi teach Kwa Raia wao.
Hapa Tanzania Aina hii ya sub comp zenye mashiko na idara nyeti zilianzia tumika kipindi cha uhalifu wa pembe za ndovu na faru Ila now a day operation imetanuka na imefika mahali nionavyo Mimi maisha yatakuwa magumu Sana na uwenda watu hawato aminiana kivile ikumbukwe watanzania tuna Onana kama ndugu Ila hizi operation zenye Aina ya zile wanafanya wenzetu kuwinda adui wa Taifa Lao nakuziamishia kwa Raia Ambao kiukweli bado Sana hatujafikia level ya umafia wa Aina hiyo kweli mtaumiza watu na watu tutaogopana.
Kwa nature ya Tanzania hii itazuwa Jambo huko mbeleni pale familia na ndugu watajuwa kile tuliona kama Jambo la kawaida nikitu kiliandaliwa nakusukwa mahali tena na MTU Fulani. Yani itakuwa ni shida basi Bora mkamate watu wa ukweli Ila je mkionea Nani ataweza sahau Hilo?.
Tuna hitaji wekeza zaidi kupigana na adui wa nje kuliko Raia wasio na kitu. Kama kweli kuna shida basi tumieni idara za polisi kudhibiti wa halifu.
Narudia tena haya ni maoni yangu