TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE?
Na Elius Ndabila
0768239284
Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule...
Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17.
Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania...
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani...
Mabibi na mabwana ushauri wa bure kwa mama yetu mpendwa Mama Samia.
Salamu tokea kwa mh. rais popote alipo tumezipokea. Muhimu naye akatufikishia zetu kwake mzee baba.
Hapa tulipo misingi ya...
Nafikiri Mama Samia anapaswa kuwaondoa hawa kutoka Baraza la Mawaziri na asitishe pia kazi walizoelekezwa na Hayati Magufuli kuzifanya.
Tunafahamu msukumo wa kutaka Sheria ziandikwe Kiswahili ni...
Mkuu wa Majeshi Tanzania jenerali Venance Mabeyo akiwa na Mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa Shirika La Reli Tanzania katika kipande cha kwanza kilichotandikwa cha Reli ya kisasa -SGR kwenye Ziara...
Ni dhahiri kuwa kwa sasa Rais John Pombe Magufuli anajionyesha kuwa katika uongozi wake,suala la majanga na uhai wa wananchi wake hayana vipaumbele.Kwake ni pesa na kuona uchumi unakuwa.Rais wetu...
Wiki hii wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Maliasili na Utalii, Mbunge wa Vunjo, mkoani Kilimanjaro, James Mbatia, ambaye ni Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, alimtuhumu Rais John...
Kwaheri Rais Magufuli, ndiyo lugha pekee iliyobaki tunayoweza kuitumia kwa sasa kwa kuwa hakuna namna ambayo tunaweza kuifanya kurudisha uhai wa mpendwa wetu, tumwombee apumzike kwa amani roho...
Kuna harakati nyingi sana zinazoendelea mitandaoni, huenda na mitaani pia kuhusu kuondolewa na kuwajibishwa kwa viongozi wengi waliokuwa katika utawala wa JPM. Baadhi wanaotajawa ni pamoja na Ole...
Mume wa Angela kairuki , infact Angel ni Mpare, na waziri hapa Tanzania amefanya blander kwa kuchelewesha hati huku akishindwa kuendana na kasi za Jiwe
*IMEKUWAJE BALOZI MBELWA KAIRUKI...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema maandalizi ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule John Pombe Magufuli yamekamilika...
Taifa lipo katika maombolezo makubwa ila kwa wakati huo huo maisha yanapaswa kuendelea.
Ni ushauri tu kwa Mh. Samia endapo ataamua kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, wa kwanza kumtoa awe...
Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya.
Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama...
Binafsi nilishangaa Sana kusikia Katibu Mkuu Kiongozi, na Makamu wa Rais Zanzibar wamefariki kwa changamoto ya upumuaji (Korona in advance) viongozi wa juu kabisa wa kiserikali.
Nilishangaa pia...
TAARIFA KWA UMMA Maalim Seif Apumzishwa Baada ya Kupata Maambukizi ya Covid 19
Chama cha ACT Wazalendo kinawajuilisha wanachama wake, Wazanzibari, pamoja na umma wa Watanzania, kuwa Mwenyekiti...
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37...
Tangu mwaka 61 tunapata uhuru tulikuwa chini ya TANU ,Mwaka 1977 ikazaliwa CCM ,tangu wakati huo ni marais kutoka CCM ndio walikuwa wanaongoza nchi
Nyerere amekufa,Mkapa amekufa na sasa kafa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa ujumbe huo jana jioni, Alhamisi Machi 16, 2017 katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Isike Mwanakiyungi mkoani Tabora, ambapo amesema Mheshimiwa Rais Dkt...
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.
Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.