Nchi za Afrika zilizowahi kuongozwa na Viongozi Wakuu wanawake

Sam Gidori

Verified Member
Sep 7, 2020
94
150
Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17.

Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi hiyo. Wafahamu wanawake wengine walioshika nyadhifa za juu kabisa katika nchi zao barani Afrika.


MwakaNchiJina la KiongoziSababu
1993BurundiSylvie KiningiBaada ya kuuawa kwa Melchior Ndadaye
2006-2018LiberiaEllen Johnson SirleafAlichaguliwa
2009GabonRose Francine RogombeBaada ya kifo cha Omar Bongo
2012MauritiaMonique Ohsan BellepauBaada ya kujiuzulu kwa Anerood Jugnauth
2012-2014MalawiJoyce BandaBaada ya kifo cha Bingu wa Mutharika
2014-2016Jamhuri ya Afrika ya KatiCatherine Samba-PanzaRais wa Mpito
2015-2018MauritiaAmeenah Gurib-FakimAlichaguliwa na Bunge
2018-EthiopiaSalhe-Work ZewdeAlichaguliwa na Bunge
2021-TanzaniaSamia Suluhu HassanBaada ya kifo cha John Magufuli

Wanawake_2.png
 

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
648
1,000
Ukiangalia vizuri utaona asilimia 98 wamekuwa Marais baada ya Marais wa kiume kufariki, kuuawa, kupinduliwa etc. Afrika bado kuna mfumo dume.
 

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
2,652
2,000
Ukiangalia vizuri utaona asilimia 98 wamekuwa Marais baada ya Marais wa kiume kufariki,kuuawa,kupinduliwa etc. Afrika bado kuna mfumo dume.
Vipi kuhusu Ulaya?!! Ngoja atuwekee na list ya Ulaya nchi zilizowah kuongozwa na wanawake, ndio utapigwa na butwaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom