Zanzibar: Rais Mwinyi amtumbua Katibu wa Rais, Suleiman Ahmed Saleh siku 37 baada ya kuteuliwa

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.

Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais

Mwinyi.jpg

9E6E445B-B8FA-422C-B813-40311E120236.jpeg

Picha: Rais Mwinyi akimuapisha Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais

Unaandika kama unakimbizwa, au umekimbilia kuweka habari ambayo haijielezi sababu za utenguzi wake! Tunahitaji kufahamu hayo na sio kusoma kichwa cha habari tu!
 
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.

Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais

View attachment 1649987

View attachment 1649988
Picha: Rais Mwinyi akimuapisha Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais

Jamaa alikuwaga ubalozi Washington DC
 
Huyu kwenye picha ni Suleiman Ahmed Saleh. Yeye alikuwa afisa balozi wa Tanzania huko USA na pia baadaye alirudi nyumbani Tanzania kuwa Mkuu wa Idara ya Middle East Wizara ya Mambo ya nje.

Mwanadiplomasia huyu mahiri, mkongwe na nguli ktk fani ya diplomasia na ofisa Mambo ya Nje Mwandamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje nini kafanya kiasi cha kutumbuliwa mapema hivi?
Mr. Suleiman Saleh
Mr. Suleiman Saleh
Second Secretary,
Political affairs at the Tanzanian Embassy in Washington D.C

Amefanya mengi kwa Pemba na Tanzania kwa ujumla Pemba Schools – Powering Potential
 
Back
Top Bottom