Zitto, Ukimtazama kwa jicho la tatu

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
 
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati, ACT ni chama cha dora kilichokuja kuviua vyama vya upinzani, Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua. Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Mbona husemi Chadema ilivyoiuwa CUF kwa kutumia UKAWA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kwa hiyo ndio maana mlifukuza katika chama chenu cha Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mada inakuzidi akili na umri uwe unaipita kimya kimya tu. Umeshaambiwa ukimuangalia kwa kutumia jicho la tatu (akili kubwa zaidi na ya tafakari), halafu wewe kwa ufinyu wako unakuja kuomba ushahidi, ushahidi kwenye mambo ya tafakari na analysis?
Kama huna akili kubwa pita kimya tu
 
Kama mada inakuzidi akili na umri uwe unaipita kimya kimya tu. Umeshaambiwa ukimuangalia kwa kutumia jicho ka tatu (akili kubwa zaidi na ya tafakari), halafu wewe kwa ufinyu wako unakuja kuimva ushahidi.
Kama huna akili kubwa pita kimya tu
noted
 
Kulikoni?

Maana huwezi kuanzisha mada hivi hivi bila ya jambo lililofanyika hadi ukamfikiria uliyemwanzishia mada.
 
Kwakweli Zitto sio wa kumwamini kabisa katika siasa za upinzani nchi hii!
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Hatuangalii mtu tunachotazama ni hoja na ukweli we zezeta
 
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,

ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.

Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.

Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kwani Ukawa ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom