Tusingempata Magufuli Taifa lilikuwa linazama na kupotea!

jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu lilifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Rais Magufuli analiendesha Taifa katika kipindi ambacho kuna wasomi wengi na ambao baadhi wamemezeshwa sumu ya kimagharibi.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
3,899
Likes
3,837
Points
280
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
3,899 3,837 280
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
Hayo yote yalitokana na katiba ya kuwapa watawala nguvu kuwazidi wananchi
Tunamshukuru rais wetu ametuletea katiba yenye kuwapa wananchi nguvu kuliko watawala
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,528
Likes
2,036
Points
280
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,528 2,036 280
Jibu hoja achana na mleta hoja
mkuu, topic yako ni kama kuwaaminisha watu wasifie takataka na vitu vingine visivyokuwa na tija. kumradhi kwa reply yangu ya kwanza...maybe nimekukwaza, lakini thread yako na contents zake zinatia hasira. kwa kifupi, Magufuli ni mwizi (Fisadi) dikteta, ana chuki kubwa sana na wanaomkosoa, ana wivu sana pale ukimzidi, ana roho ya kwa nini, na bora hata iddi amini kuliko jamaa yako huyo. Time will tell, ila atakuja kuitumbukiza Tanzania Shimoni! just stay health and witness the wonders! Poor Tanzania...
 
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Messages
3,437
Likes
4,124
Points
280
Age
26
kirikou1

kirikou1

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2016
3,437 4,124 280
Kwa yalotokea leo boma mbuzi naamini kesho hakutakucha bila tamko khs yale mafuriko kutoka kwa nywele nyeupe
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
Hayo yote yalitokana na katiba ya kuwapa watawala nguvu kuwazidi wananchi
Tunamshukuru rais wetu ametuletea katiba yenye kuwapa wananchi nguvu kuliko watawala
Mshukuru Rais kwa utekelezaji wa katiba kwa manufaa ya wote
 
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Messages
26,910
Likes
17,662
Points
280
jingalao

jingalao

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2011
26,910 17,662 280
mkuu, topic yako ni kama kuwaaminisha watu wasifie takataka na vitu vingine visivyokuwa na tija. kumradhi kwa reply yangu ya kwanza...maybe nimekukwaza, lakini thread yako na contents zake zinatia hasira. kwa kifupi, Magufuli ni mwizi (Fisadi) dikteta, ana chuki kubwa sana na wanaomkosoa, ana wivu sana pale ukimzidi, ana roho ya kwa nini, na bora hata iddi amini kuliko jamaa yako huyo. Time will tell, ila atakuja kuitumbukiza Tanzania Shimoni! just stay health and witness the wonders! Poor Tanzania...
So far anafanya vyema sana hayo mengine ni wishes zako tu
 
aminiusiamini

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
3,596
Likes
1,524
Points
280
aminiusiamini

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
3,596 1,524 280
Nakubaliana na Hoja. Magu sio presidential material but ameweka adabu na kutuonyesha njia.Nchi hii ilikuwa inakuwa Nigeria.
 
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2008
Messages
5,027
Likes
4,646
Points
280
Kinyungu

Kinyungu

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2008
5,027 4,646 280
Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.

Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.

Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.

Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.

Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.

Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.

Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.

Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.

Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.

Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.

Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.

Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.

Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.

Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
Chama gani anachotokea magufuli? Uchafu wooote wa miaka 56 ya uhuru ulilelewa na chama gani? Magufuli ni part and parcel ya uchafu wa ccm hawezi kujitenga nao.

Na akiondoka atakuja mwingine atafukua uchafu wa Magufuli kwa sababu ccm na wizi, ufisadi, unyonyaji ni sawa na nzi na mzoga. Haviwezi kutengana
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,338
Likes
17,333
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,338 17,333 280
Labda Taifa la Chato maana wamefisadi uwanja wa ndenge wamefisadi Taa za barabara ingawa PUNDA ndio wanaovuka hakuna mwananchi mwenye gari zaidi ya jamaa yule, na sasa wanataka kufisadi Hospital kubwa ingawa wananchi wake wako masikini.

Swissme
 
P

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
1,528
Likes
2,036
Points
280
P

Prof

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
1,528 2,036 280
So far anafanya vyema sana hayo mengine ni wishes zako tu
uchumi unaanguka, poverty is escalating at unimaginable speed, katiba inavunjwa kila siku, nepotism, diplomasia mbaya na majirani zetu etc...na bado unasema eti anafanya poa? nimeamini wanavyotuzungumzia jirani zetu wako sahihi...
 
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
16,060
Likes
9,366
Points
280
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
16,060 9,366 280
Labda Taifa la Chato maana wamefisadi uwanja wa ndenge wamefisadi Taa za barabara ingawa PUNDA ndio wanaovuka hakuna mwananchi mwenye gari zaidi ya jamaa yule, na sasa wanataka kufisadi Hospital kubwa ingawa wananchi wake wako masikini.

Swissme
Ukiwekwa kifungoni tena itapendeza.
 
Forum statistics

Threads 1,236,374
Members 475,106
Posts 29,255,701