Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika hali isiyo ya kawaida, Madikteta wote duniani huondoka kwa staili moja ya fedhea sana. 1. Muamar Gaddafi. 2. Saddam Hussein. 3. Al Bashir, 4. Mohamed Mosri. 5. Mugabe 6 .Sankara na...
21 Reactions
87 Replies
10K Views
Hapa ni iliyo kuwa Zaire kipindi cha nyuma wanufaika wa rais wa zamani wa nchi hiyo wanavyo muimbia nyimbo za mapambio. Tabia hizi ni za kibinafsi sana kwani ni kujirahisishia au kujisafishia...
20 Reactions
84 Replies
8K Views
Ukweli usemwe kwani naamini hata Mwalimu Nyerere alipambana sana dhidi ya hawa watu na ikafika sehemu wakamzidi ujanja. Leo hii Rais Magufuli amefikia hatua zaidi ya Mwalimu tunapaswa tumpongeze...
22 Reactions
212 Replies
16K Views
Ukifungua television za majirani hasa Kenya siku ya Leo utashangaa jinsi wanavyosifia mabadiliko ya kiutawala bila vurugu wala kelele toka kwa wananchi Pili, Majirani wa kike wamefurahi Mwanamke...
44 Reactions
99 Replies
9K Views
I hope this was a teachable moment. From it, they will grow through what they went through and do better going forward. They say if you know better, you do better. So I’m crossing my fingers...
83 Reactions
116 Replies
10K Views
Kigoma kuna jimbo moja la uchaguzi liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ndugu Nditiye kufariki dunia. Kwa kuwa Rais mpya mhe. Samia Suluhu amesema tushikamane na tuache kunyoosheana...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko...
21 Reactions
119 Replies
8K Views
Rais Dk. John Magufuli leo Jumamosi Desemba 7, anaweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi lenye urefu wa kilomita 3.2 katika Ziwa Vitoria litakalounganisha Mkoa wa...
14 Reactions
83 Replies
15K Views
Vyama vya siasa vya upinzani Mkoa wa Arusha vimetoa pole kwa familia ya Hayati Rais John Magufuli kwa kumpoteza mpendwa wao ,familia sanjari na watanzania kwa ujumla huku vikimtaka rais wa Sasa...
2 Reactions
5 Replies
929 Views
HONGERA MAMA SAMIA, LIUNGANISHE TAIFA Taarifa ya Kaimu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa Juu ya Kuapiswa kwa Mama Samia Suluhu Hassan Kushika Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Nakumbuka mwaka 2012 nikiwa mkoa mmoja nyanda za juu kusini nilikuwa mwana maombi upande wa UKWATA.Kipindi Fulani wana maombi walikubaliana kufanya mfungo wa takribani siku 30 huku wakiomba Mungu...
-1 Reactions
0 Replies
764 Views
Ndugu zangu, Mimi sio mtu wa hotuba ndefu zisizo na mashiko na wala sipendi kumchosha mtu na waraka mrefu usio na tija. Kwa leo ninaomba kupata majibu ya maswali yangu haya; 1. Mh Godbless Lema...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu! Hebu kwa pamoja tupitie hiki kiapo hapa chini: “Mimi Samia Suluhu Hassan, naapa kwamba nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nitalinda na kuitetea Katiba ya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
In this interview with Professor Patrice Lumumba, a former Director of Anti-Corruption Commission in Kenya and the Director of the Kenya School of Law, he discusses the challenges of fighting...
12 Reactions
215 Replies
27K Views
Ninaamini sifa anazopewa Magufuli hazitamfanya awe na kiburi au majivuno bali zitamnyenyekeza zaidi kwa Mungu kwa maana si yeye anayefanya Bali Mungu kupitia yeye tunamuombea ajishushe zaidi ili...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
BITEKO: RAIS MAGUFULI ANATAMANI KUONA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI KINAANZA KAZI Imeelezwa kuwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anatamani kuona kiwanda cha...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge amewataka wakazi wa Mkoa huo kushiriki kwa wingi kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli. Amesema watakaoshindwa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Tumehangaishwa sana na ugonjwa wa Rais. Mimi fikra yangu ni kuwa watu wangalijua kuwa Rais anaumwa kwa kutaarifiwa wasingefanya zogo walilofanya mitandaoni. Mtandao una manufaa lakini maudhi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom