Habari na poleni sana kwa msiba.
Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya...
Hongera Jembe na comrade wa kweli jasiri JPM !!
Mimi ni diehard /hardcore fan wa Rais John Pombe Magufuli ije mvua ya mawe lije jua la kiama!!
Nafurahi kupata uwanja huu adhimu wa JF kuendelea...
Asante Mungu wa mbingu na nchi, asante kwa zawadi uliyotupatia kwa kutupa JPM japo kwa kipindi kifupi.
JPM ametusaidia kuweka viwango vya kuwapima kwa wataokuja baada yake.
Alipambana vikali na...
Heshima kwenu wakuu,
Kwanza naomba Serikali iruhusu hotuba za Mzee Mwinyi zisomwe na Vijana.
Naomba nirudi kwenye mada. Jana kwenye mdahalo wa Mwalimu Nyerere, nlimsikia Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Ninajua kuwa Waziri Mkuu akifariki au kujiuzulu basi Baraza la Mawaziri huhesabika kuwa limevunjika.
Pia muda mchache kabla ya Rais mteule kuapishwa Baraza la Mawaziri huvunjika.
Lakini Katiba...
Thisi is my opinion concerning the news covarage of DW TV or Radio and its allies in EAC on The President of United Republic Of Tanzania.
Since the 2015 election in Tanzania DW and allied news...
Kwa hulka ya busara, hekima, unyenyekevu na utulivu wa huyu mama najaribu kumuunganisha na utawala huu wa sasa, nashindwa kupata jibu la moja kwa moja kuwa na yeye anaweza kuendana na kauli kama...
Mimi nimefiwa na Ndugu wasiopungua wawili ndani ya miezi miwili kwa changamoto ya upumuaji( Coron). Nina majirani,nao kwa vipindi tofauti wametujulisha kuzika ndugu zao wakisema ugonjwa unafanana...
Kwenye nchi zetu zinazoendelea huwezi kuepuka ukweli kuwa serikali ndio taasisi pekee ambayo matumizi yake ya pesa ndio kipato kikubwa kwa makampuni makubwa ya huduma na kwa mantiki hii huwezi...
Wanabodi ni wazi kabisa pamoja na kuwa tuko kwenye msiba mkubwa kitaifa lakini bado kuna tofauti kubwa na chuki ndani ya jamii yetu.
Ni katika utawala wa awamu ya tano ile ngwe ya kwanza...
Salaam,
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro leo tarehe 19/11/2020 saa nne kamili asubuhi, Makao Makuu ndogo ya Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam atazungumza na waandishi wa habari...
Ofisi ya De Beers inayothaminisha bei ya almasi(Israel), kushoto ni Herry Oppenheimer alipoenda Mwadui kumtaka Dr Williamson awauzie familia yao sehemu ya hisa za Mwadui
Dr Williamson akiwa...
Jana nilikuwa Kariakoo mtaa wa Lindi na Msimbazi, pale nilipata kuwasikia wamachinga jinsi walivyoguswa na kifo cha Rais wao, kwakweli wameumia mno! Mmoja wao nilimsikia akisema mwamba umeanguka...
Mtarudishiwa dhihaka,kejeli na vijembe kama mfanyavyo leo hii huku mkidhani mmeongeaa na Mungu wakati sisi wote ni wapitaji katika hii dunia.
Siku hiyo ikifika mtataka tuwashike mikono lakini kwa...
Kwa kutumia predictive analytics techniques kuchakata na kuunganisha data za kisayansi, kisiasa, maoni binafsi na sayansi ya jamii, jicho letu linatuambia kuwa Bashiru Ally ndiye Rais wa awamu ya...
Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana.
Mchungaji Matsai...
SAKATA LA LEMA NA USHAHIDI WA VODACOM
-----------------------USILOPENDA KUFANYIWA KAMWE USIMFANYIE MWENZIO.
Nimeona mitandaoni kampeni inaendelea kutuhamasisha watu tusitumie mtandao wa Vodacom...
Kumekuwa kuna mambo mengi yanafichwa fichwa lakini madhara yake ni makubwa na miongoni mwa mambo ambayo mhe: Rais wetu aliyoyaongea alisema wizara hazi-communicate.
Unajua kila kitu kikimsubiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.