Mabibi na mabwana ushauri wa bure kwa mama yetu mpendwa Mama Samia.
Salamu tokea kwa mh. rais popote alipo tumezipokea. Muhimu naye akatufikishia zetu kwake mzee baba.
Hapa tulipo misingi ya haki imepotea. Chuki imetamalaki, maisha yamejaa ukakasi, uhuru wa watu kusema na hata kujifanyia wanayotaka haupo tena. Nk, nk.
Usidanganywe na wanufaika wa ukandamizwaji uliopo.
Muhimu kufahamu, kama Watanzania hatukuwahi kufikia viwango hivi vya mifarakano. Rejea awamu zote zilizopita. Leo hii tunaombeana kufa?
Jitihada zozote za kuyarekebisha hayo kupitia kwa mtu yeyote zitaungwa mkono vilivyo na tutashikamana kweri kweri kama taifa.
Mustakabala wa maisha ya watu hauwezi kubezwa dhidi ya maendeleo ya vitu.
Tafadhali tufikishie haya kwa mzee baba kokote aliko kama majibu ya salamu zake.
Tutafarijika mno kusikia japo tu kama salamu zetu zimefika, kwani mjumbe hauwawi.
Ninawasilisha.