Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania. Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi...
29 Reactions
183 Replies
14K Views
Wakati mwingine maisha ni kama bahati. Inawezekana Mh. Samiah Suluhu hakuwa kufikiria kuwa rais. Inawezekana kabisa kama angekuwa na ndoto za kuwa rais siku moja na kuwaambia marafiki zake, wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja wa wanachama wa JF ambao tuliingia hapa mapema mwaka 2006 na kabla ya hapo niliona utendaji wa serikali za awamu zote tatu za mwanzo, awamu ya nne na sasa nilikuwa naiona awamu ya...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
CC ya CCM ilipitisha chujio kali la watu 38 mpaka 5 miongoni mwa watia nia ya urais 2015. watajwa hapo juu hawakuficha hisia zao kuwa mchakato haukufuata taratibu kwa mjibu wao na kuja kwenye...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari za jumapili wanabodi Leo sihitaji hata kuandika maneno mengi maneno machache tu yanatosha Magufuli ni mkali,mbabe kisiasa hususani kuelekea upinzani (toward opposition) jinsi...
27 Reactions
92 Replies
7K Views
Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi. Gwajima alikuwa akihojiwa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Mama Rais anayengojea kuapishwa. Kwanza salamu. Tanzania inakujua na kukuamini tokana na uchapakazi na uzalendo wako. Hata hivyo, una kazi kubwa kuvaa viatu vikubwa vya marehemu Magufuli. Si haba...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakati wana wa Israel wanaelekea kanaani kuna Muisrael alietwa Kora yeye kazi yake kubwa ilikua kupinga safari ya Musa na wana wa Israeli. Bila Mungu kuingilia kati kumuangamiza Kora huenda mpk...
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Nitaanza na jambo moja la msingi kabisa katika uchumi wa Tanzania kuonesha ni jinsi gani Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kukumbukwa kuliko hata wakoloni walioitawala...
9 Reactions
98 Replies
6K Views
Anaandika Baba Askofu Bagonza MASUALA siyo MAJINA Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote. Katika nyakati za kutafuta au...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Mabibi na mabwana tuko msibani. Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko. Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Sheria ya mazishi ya viongozi inasema, endapo Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia, na baada ya Makamu wa Rais kupata taarifa rasmi zilizothibishwa atatakiwa kutangaza kifo kwa mujibu wa...
20 Reactions
133 Replies
18K Views
Ndugu John John Mnyika ni aina ya watu na kiongozi ambaye kama Taifa tunamhitaji sana (itikadi, mambo binafsi pembeni). Kijana huyu ni mtu wa kuandaliwa, kufundishwa, kuelekezwa, kutiwa moyo...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atatoa salamu za kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru kuanzia saa 9:00 Alasiri leo Desemba 07, 2018. Fuatilia matangazo kupitia...
11 Reactions
118 Replies
19K Views
WITO KWA VIONGOZI WENGINE NA WATANZANIA KWA UJUMLA Na, Rpbert Heriel Kwanza namshukuru Mungu, yeye aliyemuweza wa yote, mwenye mamlaka atupaye mamlaka, mwenye nguvu atupaye nguvu, mwenye elimu...
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Wakuu habari za majukumu, Nimeipata taarifa hii iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi - NEC na kusainiwa na Mkurugenzi wa uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan ikimtaka Kaimu Mkurugenzi wa wa Kituo...
3 Reactions
101 Replies
11K Views
Katika kipindi hiki cha maamuzi na uwekwaji wa mustakabali wa Taifa ni muhimu tukarudi kwenye chambuzi na definitions mbalimbali zinazoelezea maana mtambuka (complex) ya maendeleo. maendeleo ni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukweli lazima usemwe na utasimama. Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Mbona ana mume bandugu?Hili gazeti haliwezi kufuatilia na kujua mpaka likauliza hivi? Anaitwa Bwana Hafidh Ameir,hata siku ile ya kampeni ktk mkutano mkubwa kwenye uwanja wa Demokrasia...
9 Reactions
318 Replies
65K Views
Back
Top Bottom