Kama kiongozi wa nchi hayupo tayari kukosolewa akiwa hai, basi ni salama zaidi akifa tumkosoe.
Mambo haya hayakuwa sawa wakati wa hayati JPM:
1. Haki
2. Uhuru
3. Ajira zenye usawa
4. Maendeleo ya...
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe...
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya...
Awali ya yote napenda kutoa pole kwa Watanzania wote walioguswa kwa dhati baada ya kuondokewa na kiongozi wetu. Baada ya Taifa letu kukumbwa na msiba huu mzito wa kuondokewa na Rais wetu mpendwa...
Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora.
Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma...
Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo...
Awali ya yote naomba niwape pole waTanzania wote kwa msiba wa hayati Rais Magufuli.
Edward Lowassa ni muda sijamuona hadharani na kwenye msiba huu mzito, waziri mkuu mstaafu huyu alipaswa...
TAFSIRI BINAFSI JUU YA KIFO CHA HAYATI JPM KATI YA MSITU MNENE WA TAFSIRI MBALIMBALI NCHINI.
Na Eng. Bishanga G.C. (Edc.facilitator & MP aspirant ) :Kyerwa, Kagera, Tanzania [emoji1241]...
Hii video ukiangalia utaona jinsi jamaa alikua akiishi na makundi yote vizuri japo hakuna binadamu asiye na kasoro ila alijitahidi sana kuficha hisia zake alikua smart sana kwenye hilo.
NB...
Akizungumza mubashara katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachoongozwa na Nyanda " Mtozi" mwandishi mbobezi Moses Methew amemtaka msemaji mkuu wa serikali Dkt. Abbas atoke hadharani...
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo unaotarajiwa kuanza hivi karibuni chini ya kampuni ya China Merchant Holdings inatarajiwa ukikamilika utaifanya bandari hiyo kuwa kubwa zaid barani Afrika kutokana na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli kukutana na wafanyabiashara kupitia Baraza la Biashara Tanzania, TNBC.
Angalizo:
Kuna watu humu wana allergy na pongezi zozote kwa Rais...
Habari wana JF,
Sijui inanihusu au hainihusu ila ni kwamba nimetaka kujua maybe kuna mtu humu ana majibu, Kiukweli Baaada ya uchaguzi mkuu Nilidhani kwamba kwa hii miaka mitano Bunge...
Hii nimeitoa kwenye official Twitter page ya Zitto
====
Serikali ya Rais @MagufuliJP wameamua kutengeneza mashtaka ya utakatishaji Fedha dhidi yangu. Ofisi nzima ya TAKUKURU Makao Makuu imehamia...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania...
Mnamkumbuka yule mzee aliyempa Magufuli zawadi ya Jogoo kule Kilwa? Mzee Shaweji Kimbwembwe amepanda basi kutoka huko kijijini kwao kuelekea Dar ili apate fursa ya kumuaga Rais Magufuli.
Alimpa...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. ( aboodmediatz )
Mwijaku achukua fomu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.