Hawa Walinzi wa Aliyekuwa Rais wa JMT Hayati John Pombe Magufuli wamefanya kazi ya kutukuka. Wamefanya kazi kwa ueledi na ufanisi Mkubwa. Leo mpendwa wao na boss wao katutoka...
Kwa namna...
Habari comrades,
Najaribu kuwaza tu! Na nimejiuliza kwanini mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?
Je, kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?
Hapa...
hana adabu. hana staha. anatumika vibaya. anajimaliza kisiasa. anaongeza idadi ya vijana wanaomchukia Tanzania.
who is this boy?
tunaomba CV jamani. maana kijana anaona raha kukaa mbele ya...
Kwakuzingatia katiba na sheria inayosimamia mazishi ya viongozi na kwakuepuka uvunjifu wa sheria nchi yetu ilipashwa kufanya yafuatayo kabla yakufanya mazishi ya Hayati Mhe. John Pombe Magufuli...
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi...
Inasambaa sana na kwa kasi mitandaoni.
Inasemekana imeandikwa na M/kiti wa mtaa wa Mwenge, Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni DSM.
Uandishi wenyewe ni wa kibabe na usio na weledi hata chembe...
Tuishi kwa wema maana dunia tunapita. Tuache unafiki tuwe wakweli tudumishe upendo na utu tuwe watu wa haki, tuache kiburi, ubabe, ulevi wa madaraka na kujikweza maana duniani tunapita. wengi...
Uhusiano wa Uingereza na Tanzania ulianza rasmi 1919 wakati wa mkutano wa Versailles Peace Treaty ambapo iliamriwa kuwa Tanganyika itakuwa chini ya Mwingereza ili kuiandaa Tanganyika kupata uhuru...
Urais Zanzibar 2020: Barua kwa Balozi Ali Abeid Amani Karume
Ndugu yangu Ali, As-salamu alaykum. Nakuandikia barua hii ya wazi kwa upendo wangu wa kikamaradi kwako. Nafsi yangu imenisukuma...
Leo chama cha mapinduzi kimetoa taarifa rasmi ya kifo cha Dkt. John Magufuli ambae amekuwa mwenyekiti wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo imesomwa na Humphrey...
Nahuzuni moyoni mimi siimbi nalia,
Ulituahidi mengi, binafsi nayalilia,
"Hapa kazi tu!" ndio kauli uliyotuachia,
kwa bidii tulijituma, na mengi tuliachilia,
Ulitufundisha uzalendo, kazi kwanza...
Nakumbuka enzi za awamu ya pili ya mzee Mwinyi, baada ya Waziri wa mambo ya ndani mh Augustino Lyatonga Mrema kuonyesha utumishi uliotukuka " alitunukiwa" cheo kipya sawia na alichokuwa nacho...
Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki.
Hivyo basi mkutano mkuu...
Hayati baba wa Taifa alipong'atuka na kuliacha hili taifa mikonononi mwa warithi wake kwa namna alivyokuwa hapendi rushwa,ubadhirifu na uzembe hakuna mtu aliyetegemea kuwa litakuja kugeuka kuwa...
Tunaendelea katika tafakari maombolezo tukingoja kumuhifadhi Mkuu wetu. Tayari andiko limetimia mwanadamu uuu mavumbi na mavumbini utarudi. Mimi wewe Mkuu tutasimama kizimbani kwa mwenyezi Mungu...
Tupo kwenye maombolezo kwa muda wa siku 21 kutokana na kifo cha mpendwa wetu Hayati J.PM.
Mengi yanasemwa kuhusu kifo chake, hata mwenyewe alisema kifo ni kifo, kiwe cha kansa, changamoto ya...
Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja...
Askofu Mkuu wa Mwandamizi wa Dar, amesema Rais Magufuli alikuwa mtu wa Haki na Imani. Akitafsiri kuwa mtu mwenye Haki ni yule anayewapa watu mastahili yao
Amesema Rais Magufuli alimpa Mungu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea...
Rais kazungumza kuwa "Ni nchi hii tu ambayo mtu amepata div 4 alafu unakwenda chuo kikuu, alafu anasimama mwanasiasa anasema wasome tu."
Ameyasema hayo katika hafla ya tuzo za Rais kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.