Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
nmejifunza kuwa malipo ni hapahapa dunianiNape ulikoseaga sana tano bora kutomwingiza Membe ama Lowassa..angalia sasa.
Majuto ni Mjukuu WA Lawama
Kabisa mkuunmejifunza kuwa malipo ni hapahapa duniani
Nape hajawahi kuwa na mamlaka hayo unayodhania......na hata angekuwa nayo kiduchu ila kwa lowasa ni big no!Nape ulikoseaga sana tano bora kutomwingiza Membe ama Lowassa..angalia sasa.
Majuto ni Mjukuu WA Lawama
Mkuu ulipita mle mle. Hongera kwa unabiiPacemaker inaweza ku rethink kama inatutendea haki au la.
Ikigundua kuwa inafanya makosa makubwa inaweza kutubu mbele za muumba na kuighairi kazi inayoifanya.
Hapo ndipo wimbo wa taifa hupigwa mchana kweupeeeee.