Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,364
- 7,989
Habari wana JF,
Sijui inanihusu au hainihusu ila ni kwamba nimetaka kujua maybe kuna mtu humu ana majibu, Kiukweli Baaada ya uchaguzi mkuu Nilidhani kwamba kwa hii miaka mitano Bunge litachangamka sana, Ni baada ya kuona Mh.JGwajima akishika nafasi ya Ubunge Kuiwakilisha Kawe.
Nadhani hata mwanzoni tuliona alivyoanza kwa mbwembwe, ila sasahivi naona ni mtu ambae kawa mkimya sana yaani ukitaka kuapata habari zake hadi ukasearch youtube, kitu ambacho nilitegemea kila week lazima ningekuwa namsikia na hoja mbalimbali mitandaoni akitrend.
Kikubwa zaidi ni baada ya msiba huu bado namuona amepoa sana, me sijamzoea gwajima akiwa kapoa hivi jamani, ebu nijuzeni ni ubize na kazi unaotokana na nafasi aliyopo nayo ya ubunge au kaamua kuishi kwa ukimya?