Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,002
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
Hili lingekuwa pigo kubwa na la kutisha.
Maombi ni uhuni ama utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kinachoitwa maombi kinaweza kumsaidia binadamu.Hili lingekuwa pigo kubwa na la kutisha.
Ndio "utukufu wa Mungu...". Lakini...
Kwa hiyo yeye alisali sana na imani yake kwa Mungu iliwazidi wengine waliorudisha namba?
Sikubaliani na dhana hiyo.
Hongera Dr Mpango.
Tema mate chiniMaombi ni uhuni ama utapeli kama utapeli mwingine. Hakuna kitu kinachoitwa maombi kinaweza kumsaidia binadamu.
Waambie wacheck hii link Texas and Mississippi lifts ALL its COVID-19 precautions
Kupumua hewa hiyo hiyo iliyotoka ndani ya mwili wako ni mbaya zaidi...kwa hiyo kupumuliana, na kukoholeana, ndio kunasaidia "kiivyo"?
Hiyo mbona irrelevant!Waambie wacheck hii link Texas and Mississippi lifts ALL its COVID-19 precautions
Waambie wacheck hii link Texas and Mississippi lifts ALL its COVID-19 precautions
Bado hataki kuvaa barakoa na ku-maintain 2meter distance?