Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu poleni Sana kwa msiba huu mkubwa. Kabla sijaenda mbali naomba nichukue wasaa mchache kumtakia Safari njema yenye kheri huko aendapo aliyekuwa rais wetu mpendwa JOHN POMBE MAGUFULI. Baada...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa. Baba Askofu amewaombea...
20 Reactions
52 Replies
5K Views
February 17, 2020 FULL HISTORIA YA MAMA SAMIA Mama Samia anakubali hoja nzito za wapinzani, nilikataa pendekezo la kuwa Makamu wa Rais Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano wa Tanzania Mama...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Ni ndani ya document iliyotolewa kwa jina la 'Taasisi_Incomplete' ambayo inazungumzia wale watumishi ambao hawakupeleka baadhi ya vyeti na kupelekea kuondolewa kwenye 'payroll'. Ikumbukwe kuwa...
12 Reactions
316 Replies
45K Views
Kwa siku moja tu dunia imeshuhudia kuwa Magufuli alipendwa sana na watu...kila mtanzania anatamani amuage rais wake mpendwa JPM Nashauri kamati ya mazishi ibadilishe ratiba ili kila mkoa upate...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Nimejaribu kufuatilia ishu ya Kabendera naona Kuna mtu anatajwa Anaitwa Lwajabe ambae alikufa kwenye mazingira ya ajabu na kutatanisha na alikuwa anafanya kazi wizara ya fedha au foreign. Sasa...
37 Reactions
408 Replies
38K Views
Sio jambo la kawaida kwamba Rais anakuwa hayupo madarakani halafu kwa taifa la kiafrica ambalo tunajua fika Waafrika ni waroho wa madaraka halafu panatokea nafasi ya raisi inakuwa wazi na watu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Nafahamu katiba inasema wazi mtu atakayeshika nafasi ya urais wa JMT anapaswa kuwa na miaka 40 na kuendela ila sifahamu katiba inatoa maelekezo gani kuhusu umri wa makamu wa Rais. Aliye na ujuzi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi cha maombolezo ya kitaifa ambapo vipindi vinatakiwa kuwa vya maombolezo na vituo vya kijamii na ki-wilaya vijiunge na...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wataalamu wa katiba tunaomba tujadili hili. Kwa sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anatokea upande wa Zanzibar, na katiba inamruhusu kugombea endapo atawiwa kutetea kiti hicho. Swali...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari amemfananisha Rais John Magufuli na Rais wa Kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah na Waziri Mkuu wa Kwanza wa...
6 Reactions
65 Replies
8K Views
Asalam ndungu zangu! Nimepitia mitandao naona suala la Bandari ya Bagamoyo limeibuka upya. Limeibuka kwamba limepata ufunmbuzi na litatimia. Faida na hasara zake. A) Faida 1. Uhamishaji wa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Katika mchezo Wa soka, ngumi au riadha, upigaji wa pushups unaonyesha umahiri mkubwa wa kuutumia mwili katika kukabiliana na magumu utakayokumbana nayo. Kwenye siasa ni makosa makubwa kuaminishwa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamvi, Katika uchaguzi huu mtu kuna pekee ambaye ameweza kuwabana wapotoshaji na anajibu kila hoja yao na wanabaki mdomo wazi! Lazima tukubali pasi na shaka kuwa Wilson Mahera...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari ya muda huu wana janvi! Kama mada inavyo jieleza hapo juu: Kwa upande wangu naweza kulielezea swala la Elimu bure kwa Shule za Sekondari kama utashi wa mtu binafsi na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania,Mh Job Ndugai akipokelewa na Mama Salma Kikwete (MB) na Wabunge wengine mara baada ya kuwasili leo akitokea nchini India kwa matibabu. Hapa ni...
6 Reactions
233 Replies
36K Views
Tuko msibani, lakini kwa dunia ya sasa hilo hakizuii kusema ya moyoni ili kujiweka sana na kutumia msiba kama funzo muhimu. Awamu hii ya tano sehemu ya kwanza chini ya Marehemu Rais Magufuli...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Mheshimiwa kwanza nikupongeze, you are smart, but the problem is you are 'evil smart' sometimes. Katika historia yako ya utumishi, umegundua siri ya namna ya kuwatumia watawala wakupe...
32 Reactions
61 Replies
7K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mussa Taibu amesema kuwa hana taarifa za kutekwa kwa Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Bollen Ngeti, anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mchana wa leo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mohamed Dewji Liyaqat Parker Mfanyabiashara maarufu nchini Afrika ya kusini aliyetekwa na kuachiwa baada ya kulipa Randi milioni 3.4 Na. Habibu mchange Leo Oktoba 11 mfanyabiashara maarifu...
27 Reactions
136 Replies
30K Views
Back
Top Bottom