Mtabiri maarufu ametabiri kuwa Rais ajae Tanzania atakuwa ni mwanamke. Utabiri huo utakuwa umewakata maini Mh Laigwanani na Mh wa Mambo ya nje.
Source: Magazeti ya leo kama vile Majira na Jambo Leo
Vijana wengi tumeaminiwa na kupewa madaraka makubwa sana lakini Madaraka hulevya mno, ukuu tunaopewa unatulewesha na kudhani wengine wasio na madaraka si chochote wala si lolote!
Je, kama nchi...
Rais Magufuli amethibisha kuwa yeye ni mtu makini, mwenye msimamo usioyumba, huyu ni Amiri jeshi mkuu hasa, mwenye maamuzi magumu, Rais asiyeangalia sura ya mtu wala ukubwa wa jina la mtu, wala...
Leo Ijumaa tarehe 14, Agosti 2020 ningependa kutoa challenge kwa wagombea urais wote isipokuwa Rais Magufuli.
Hususan Tundu Lissu na Bernard Membe maana wao ndo wanadai kuwa wanakubalika sana na...
magari ambayo Makonda anamiliki ambayo hayaendani na mshahara wake ukiondoa V8 ambayo Ni serikali, hizi zingine amezitoa wapi Bei ya hili gari Bei yake Ni shilling 14632940 millions ana Range...
DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHIA NGAZI
Siku zote mtu anayesema ukweli huchukiwa na watu wengi hata pengine kutafutiwa namna ya kuuawa, mfano, nabii Yeremia katika kitabu chake sura ya kwanza kwenye...
Taarifa kutoka Dar es Salaam maeneo ya Posta, walemavu kadhaa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi DSM kufuatia kufunga barabara wakishinikiza kupinga kukamatwa kuingia mjini na baiskeli zao.
Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo.
Tukumbuke...
Mimi Ni mwalimu mstaafu, enzi tunasoma tulikuwa tunafundishwa zaidi kufahamu saikologia ya mwanafunzi. Mfano, ukiwa unafundisha ukabaini yapo Mambo usiyoyajua kitaalamu lakini unaamini wapo...
Baada ya kufuatilia kwa kina ninakagundua kuna upotishaji mkubwa wa lengo la kumchonganisha rais na wananchi wasio na uelewa,
Uwanja wa Chato ni local airport, ambao pamoja na vipimo vya makadirio...
Jitihada za Rais Magufuli NA Benki kuu zairejesha thamani ya Tanzania shilling ndani ya.masaa 48,
Siku nne zilizopita
1 USD ilikuwa 2580 lakin muda huu imesoma
1USD ni 2238
1 kenya shiling...
Anasema ''maagizo kwa wizara ya ujenzi km 16 ambazo zishabomolewa waanze ujenzi, najua mnajua mheshimiwa Pinda alinikataza kubomoa kipindi kile, lakini muda huu hawezi maana mi ndo rais.
Kwa...
Nikiangalia namna jeneza lilivyozungukwa hasa Leo jijini Dar inaonyesha wale key figures wa protocol na security hawakuwepo may be wote wameambatana na Mhe. Samia huko Dodoma, ila nilitamani kuona...
Kuna story moja ya Isaac Asimov, Science Fiction, nafikiri ni "Franchise".
Wamarekani wametengeneza computer ambayoiko so advanced,inawauliza watu maswali mengi sana,halafu, badala ya kuwa na...
Wengi wanaotaka kuaminisha umma kuwa hayati JPM alikuwa kiongozi asiyefaa imegundulika ni wapuuzi wa huko Twita, wanasiasa njaa/matapeli ambao wananchi hawawataki. Hawa wanataka kila mtu aamini...
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,
Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa...
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo .
Chanzo : MwanaHalisi TV
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam...
Mzee Seweji Kimbwembwe kutoka Kilwa ambaye alimpa jogoo Magufuli, leo ameshiriki katika tukio la kumuaga Magufuli pale Uwanja wa Uhuru Dar,
Pia amesema ataomba vyombo vya usalama kuonana na Rais...
Huu ni mfano wa kuiga maana huu ni msiba wa kitaifa.
===
CHAMA cha ACT- Wazalendo kimewataka wanachama wake kujitokeza kwa wingi siku ya Jumanne Machi 23, 2021 katika Uwanja wa Amaan mjini Unguja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.