Rais Samia Suluhu awasili Dodoma, apokelewa na Waziri Mkuu Majaliwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,802
11,961
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza tokea kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo March 21,2021.
IMG-20210321-WA0005.jpg

 
Mama anatakiwa kujisimamia Sana na kuwa mbali kabisa na makajanja yote na wapigadili wa enzi zile Mana wengi watajipendekeza ili waanze kipiga deal zao sehemu nyeti Kama bandarini, hifadhi za taifa, madini mama awe macho sana, si muda mrefu wataanza kusafirisha twida kupeleka uarabun. Mama yetu wa taifa usijetuangusha.
 
Back
Top Bottom