Makamu wa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Marekani atuma salamu za Pongezi kwa Rais wa kwanza Mwanamke nchini Tanzania

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,905
25,176
download (1).jpeg
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi hizo mbili. Alisema hayo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter.

Kamala Harris aliandika historia pia ya kuwa Mwanamke wa kwanza na pia mmarekani mweusi wa kwanza kushika nafasi ya Makamu wa Rais nchini Marekani.

====
"Sending best wishes to @SuluhuSamia following her swearing in as Tanzania's new President - the first woman to hold the office. The United States stands ready to work with you to strengthen relations between our countries," she wrote.
 
View attachment 1730473

Tutaanza kupata heshima sasa duniani, dah....Meko Mungu amweke tu panapostahili huko alikoitwa!
 
Eti hapana, unaota wewe! Hamna nguvu ya kukataa hata kondomu zao tu acheni ujinga.
Kiwanda cha kondomu tumeshaanza kujenga cha kwetu kwa pesa zetu wenyewe hapo MSD. Kitatoa kondomu bora sana kwa watanzania vyenye usalama wa uhakika. Haya makondomu ya misaada tunaachana nayo kwani huwezi kujua usalama wake. Wanaweza wakakuwekkea mavitu mengine ya ajabu ajabu kwenye makondomu hayo.
 
Yaani waache kuweka vitu vibaya jwa namiaka yote hio waje kyweka Leo? Tuhache kuota
 
Kwa miaka yote hiyo unajuaje kama walikuwa hawatuwekei mambo ya ovyo ovyo? Unajua ni sababu gani kwa mfano asilimia 50 % ya wanaume wa Dar wanaupungufu wa nguvu za kiume? Yaani hata idadi ya kufunga ndoa imekuwa ikipungua mwaka hadi mwaka. Huko Dodoma spika wa bunge Mh Ndungai alienda kutembelea health centre moja ya kisasa yenye vitanda 20 vya kuzalia (delibery beds) alisikitishwa kuvikuta viko empty. Na akaambiwa deliveries siku hizi hazizidi 5 kwa mwezi. Aliwalaumu sana wagogo wa kiume wa Dodoma kwa kushindwa kutimiza majukumu yao. Huko.wilaya ya Rombo hali ni mbaya zaidi. Imefikia kiwango hadi cha ku import madume kutoka nchi jirani ili kuokoa jahazi.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom