Sijui ni nini kinachonifanya nisilale. Moyo wangu umevunjika sana. Hakika Magufuli alikuwa chaguo la Mungu.
Nitamkumbuka kwa elimu bila malipo. Angalia namna watoto wa masikini walivyorundikana...
Poleni saana watanzania
Ninafuatilia hotuba mbalimbali hapa nimeona kwamba hotuba ya Philip Mangula haijaeleweka ameitwa kutoa pole yeye ana sema msiwe na hofu Makamu ataongoza vizuri tu,
Kwa...
Habari wanajamvi kwanza poleni na msiba mzito wa taifa wa kumpoteza mpendwa wetu Rais Magufuli, kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea juu ya Rais aliyeapishwa Mama Samia kwamba je, ataweza...
Najaribu kuvaa viatu vya Pascal Mayalla nakutana na mambo mengi. Viatu ni vya ngozi imekauka sana halafu nimevaa viatu bila soksi.vinaumiza sana.
Pascal kuna kipindi alikuwa neutral katika siasa...
Wanabodi
Baada ya kusambaa picha mbalimbali zikiwaonesha baadhi ya wanaccm waliokuwa kwenye kamati kuu leo kama ilivyoelezwa kwenye vyombo vya habari, Je Kikwete na Karume ni wajumbe halali...
Kama tujuavyo ni kuwa hapo awali kamati ya mazishi ya marehemu Magufuli, hawakuwaweka katika orodha ya awali Zanzibar, miongoni ya miji ambayo wakazi wake watapata fursa ya kuaga mwili.
Kama...
Habari wana wa JF.
Mwaka 2015 wakati Rais Magufuli akitafuta wadhamini ndani ya CCM alipotangaza nia ya kugombea urais, alikutana na kijana mmoja ambaye miaka ya nyuma akiwa mbunge aliwahi...
Katika hali ya kushangaza na kutia shaka ni pale msemaji wa familia ya marehemu alipo kuwa akisoma historia ya familia na kusema kuwa marehemu ameacha mke mmoja na wajane wawili ambapo kauli hiyo...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE TANZANIA PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI AWAJIBU MABEBERU, HATUJAWAHI KUPIGISHWA MAGOTI, UCHAGUZI ULIKUWA HURU NA HAKI
Waziri wa Mambo ya Nje Prof. Palamagamba Kabudi aijibu EU...
Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu...
Rais Yoweri Museveni (Uganda)
" Niliondokewa na Baba yangu Mzee Mwalimu Nyerere nikalia sana na sasa nimeondokewa na Kaka yangu Mkapa nalia mno. Maelekezo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa...
KAZI ZINAENDELEA NA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, FURAHA YA WAPIGA DILI NI YA MUDA TU
Na Joseph Yona
Kuna vilaza, Wapiga Dili wanafikiri Wameokota Dodo kwa kuwa Mama Samia ndiye Rais wa Sita...
Baada ya Dr. Magufuli kufanya mkutano jimbo la Bukoba Mjini, leo atakuwa na mkutano Mjini Kayanga Jimbo la Karagwe mkoani Kagera.
Updates na picha nitaweka kadri ya uwezo wangu...
Akifanya...
Kwa siku kadhaa tumeshuhudia vita inayoendelea toka kwa Dr. Bashiru Ally ambaye ni katibu mkuu wa chama tawala. Kimantiki nimeona kwamba haikuwa sahihi kwa doctor ambaye naamini amejaa weledi wa...
Maneno haya yamenipa spirit kubwa sana, kutokana na kifo na mazingira ya kifo chake hakika JPM alisacrify maisha yake kwa ajili ya watanzania hasa watanzania masikini kwa namna alivyohangaika...
Ninawasalimu wandugu wote wa JF.
Naomba nirejee kwenye Biblia Takatifu Kitabu cha Muinjili Marko 6 : 21 - 27
[ 21 Baadaye Herodia alipata nafasi aliyokuwa akiitafuta. Wakati wa sikukuu ya...
Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na...
Akiwa anatoa hotuba ya Kumsimika Makamu wa Chuo Kikuu Dar es Salaam. Prof. William Lazaro Anangisye, ametoa Mfano akiwa mwenyekiti wa CCM huko Mtwara akotokea Jeshini.
Aliambiwa... “Ukitaka...
The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.