Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

ingekua mitatu kwa kweli,manake kama huyu wa sasa tunasubiri avurunde Zaidi,ukifikiria mpaka miaka kumi ipite naumwa kichwa..
Imagine Jiwe ana potential ya additional 6 more years. Kwa trend ya sasa na speed hii ya kuwacharaza wazee wa Chama na kuweka puppets, si ajabu wakafanikiwa kuforce aongezewe muda. It is simple. Muswada unakwenda Bungeni na akina Kibajaji/Msukuma wanaupitisha kwa kura za kutosha sana
 
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
Mawazo yako hayana tija pendekeza ufalme na umalikia iwe milele
 
Hii awamu kweli tumepatikana! Nilichelewa sana kuyaamini yale maneno machache ya Zitto Kabwe ya awamu hii nchi kukabidhiwa...............!

Mtoa mada hujielewi ingawa una uhuru wa kutoa maoni yako.
 
Miaka 10 kwa Rais kwa kweli ni michache kwa Rais aliekuwa na mipango mizuri na dhabiti ya kukamilisha pamoja na kuibadili nchi

Napendekeza walau mihula mitatu ya miaka mitano mitano au mihula minne hivi ya miaka mitano mitano

Maoni yangu tu
Marekani wana marais wazuri tu lakini ni miaka minne minne na wameweza kutimiza yale waliyoyapigia kampeni HAPA MIAKA MI5 LAKINI MALENGO MENGI HAYATIMII SEMBUSE HIYO MIHULA MI 3 kwanza ni against katiba na DEMOKRASIA.
 
Back
Top Bottom