Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi atafanya ziara hapa nchi Disemba, 7 na 8 mwaka huu.
Ziara hii imekuja mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya simu...
Kwenu Tanzania,
Pole ni kwa kuondokewa na kiongozi wa nchi. Kiongozi mkuu wa nchi anapoondoka,iwe kwa kumaliza muhula au kwa kufa,lazima kuwe na mabadiliko ya watendaji, mtazamo mpya, mtindo wa...
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk...
lita 1000 ya maji ya Chumvi tulikuwa tunanunua Tsh 15000.
Tuliletewa na Gari na lenyewe hadi uwe unachukua kuanzia lita 3000.
Hadi unaondoka tunaipata mubashara kwa tap Lita 1000 T-sh Kama 1500...
Najua tuko kwenye majonzi kutokana na msiba mzito tulioupata.
Lakini tukiwa tunaendelea na maombolezo ni muhimu tukakumbushana mambo machache yaliyofanyika au kutendeka katika kipindi cha miaka...
MASWALI YASIYO SAHIHI HULETA MAJIBU YASIYOSAHIHI: TATIZO LA KUDHANIA
Na. M. M. Mwanakijiji
Katika hoja yangu ya wiki iliyopita nilijikuta nami nimechokosa udhanifu (assumptions) katika kujenga...
Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine...
Kesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge.
Shughuli za kuaga zitafanyikia kwenye viwanja vya bunge.
Wabunge wengi...
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia...
Jamani ni ushauri tena tumeshaona kwa muda mfupi tu ni viongozi wangapi wamepoteza maisha mwaka huu tu kwa miezi mitatu. Lakini hatujui ni Watanzania wangapi hasa wenye umri mkubwa na wale wenye...
Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru...
Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu...
President Buhari Congratulates Tanzania’s First Female President, Samia Suluhu Hassan
Nigeria’s President, Muhammadu Buhari has congratulated the newly sworn-in Tanzanian first female President...
Sina shida na Wewe katika 'Utendaji' wako na unajitahidi japo 'Kibinadamu' bado kuna maeneo mengine hujaweza 'Kukamilisha' na pengine Watanzania tunaokuamini na hata wale waliokuwa hawakuamini nao...
Wasalaam wanajukwaa!
Siku wakati Rais mpya Mama Samia Suluhu anaapishwa kua Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alisisitiza turudi kuungana kua taifa moja na tuzidi kupenda tusahau...
Kama mwana ccm mkereketwa naomba uongozi wa juu hasa kamati kuu ya ccm, ambayo itahusika na uchujaji wa majina ya wagombea watakao peperusha bendera ya ccm kwenye uchaguzi mkuu October mwaka huu...
Kwa mara ya Kwanza kabisa nitoe pongezi zangu za dhati kabisa kwa Cameraman wa TBC1 hasa aliyekuwepo zamu leo huko Chato Geita kwa Kitendo chake cha Kuonyesha Uweledi wake na kutofanya Kazi yake...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 20/03/2021
Chama cha Waandishi wa Wahabari Wanawake Tanzania, Zanzibar, (TAMWA ZNZ) kinampongeza Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa awamu ya sita wa Serikali ya...
Askofu Gamanywa amesema watu wasitegemee mama Samia kufanana na hayati Magufuli kwa sababu Mungu amemuumba kila mtu na kipawa chake.
Rais Samia atatimiza majukumu yake vizuri sana kulingana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.