Asalaam Aleykum,
Kwako Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan. Pole na hongera kwakupewa nafasi hii adhimu inayotafutwa na kutamaniwa na watu wengi.
Mimi na Watanzania wenzangu tunachukua nafasi hii...
Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza mh Mongekla amewaasa wakazi wa Mwanza kutokuja na watoto siku ya kumuaga hayati Magufuli katika uwanja wa CCM kirumba.
Marufuku hii inatokana na uwepo wa watu wengi kutoka...
Tuambiane ukweli.
Tukishaambiana ukweli, tufanye maamuzi.
Tukishafanya maamuzi, tukubali kuishi na matokea ya maamuzi yetu.
Kumekuwa na kauli kuwa uwekezaji kwenye uchimbaji mafuta na gesi ni...
Here's the speech by President Lazarus Chakwera at the state funeral for John Magufuli.
166 days ago, President John Pombe Magufuli and I had dinner together at the State Residence in Dar es...
Sijajua Kama Kuna hoja ya protocol hapa ila nadhani lipo tatizo la wateule kushindwa kuvunja miiko ya uteule katika baadhi ya matukio. Nilitegeme warejee nchini lakini Hadi Sasa wachache tu...
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.
Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as...
Inasikitisha kuona kuwa Idara zetu nyeti haziko tayari katika kazi zao, na ndio maana tunaona wanavyo litia aibu Taifa wakati huu wa kifo na mazishi ya Raisi wetu mpendwa.
1. IKULU na Idara zote...
Wakati Mh Rais Uhuru Kenyetta anatoa hotuba yake kulikuwa na mwingiliano wa Adhana kutoka moja ya msikiti ulio karibu na uwanja ule.
Cha kushangaza mara baada ya kusikia hivyo alilazimika...
Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi.
Tofauti na viongozi wengine, hata marais...
Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97%...
Maaskofu wamuasa Rais Samia kuhusu haki na ustawi
MAASKOFU wa makanisa mbalimbali Tanzania wamempa ushauri Rais Samia Suluhu Hassan juu ya namna nzuri ya kuongoza nchi kwa haki na ustawi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) mkoani Rukwa, leo Jumatano kimeshindwa kufanya maombi maalumu kwaajili ya kumuombea Mbunge Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi hivi...
Sitaki kuwafundisha kufanya maamuzi lakini mnatakiwa mtoe adhabu kali kwa wanaowatisha kua msipowachagua watawanyima Maendeleo. Wakataeni hawa na waonyeshe ni kua mmechukizwa na kauli hizi...
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa...
Wakati wa udogo wetu nyumbani kwetu na familia zilizo kuwa zina tuzunguka ilikuwa mwiko kusema uongo, ulikuwa ukisema uongo unaadhibiwa bila ajizi kwa tashititi bila kupepesa macho.
Miongoni mwa...
Magufuli alionyesha utofauti kama kiongozi tangu mwanzo wa safari yake ya uongozi na siasa.Katika ngazi zote za utendaji na kama Waziri,alitimiza wajibu wake katika kila eneo.Akawa kivutio...
Nadhani hii ni baada ya wananchi na waasi wa hii nchi kuchoshwa na manyanyaso ya raisi wao wakamtenda hivi baada ya kumpindua miaka ya 1990s.
African presidents take care kwani uvumilivu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.