Una hangover badoTunakuja kumuaga Dr John Pombe Magufuli...
Mkuu wa Mkoa rafiki yangu Mongela ni vyema ukajiandaa kwani mambo ni serious sana na wapendwa wa Magufuli ni wengi..omba msaada kutoka mikoa jirani
Ndio ukwel huo, pages na groups za whatsapp watu kibao wanawekeana appointment ya seat za magari toka mikoa inayozunguka mwanza kuelekea mwanzaUna hangover bado
Hakuna cha maambukizi wala nini! Mungu alishatuponya toka mwaka jana. Kama hauijui corona ilivyo nenda Marekani au Uingereza au Brazil uone jinsi ambavyo watu wanaambukizwa kwa maelfu kila siku na kufa kwa mamia na maelfu kila siku pamoja na kwamba wanavaa "hirizi" kufunika pua na mdomo!Maambukizi ya Covid-19 nayo yatazidi sana kipindi hiki.
Watakanyagana huku wanakula miwa 'na michembe ... Msukuma ni changamoto toshaMtakufa kwa mkanyagano
Mnazidi kusambaza covid. Mnatia kinyaaa kwani huo siyo utamaduni wa Kiafrica. Maiti inatembezwa kwa uonesho ili iweje?Tunakuja kumuaga Dr John Pombe Magufuli...
Mkuu wa Mkoa rafiki yangu Mongela ni vyema ukajiandaa kwani mambo ni serious sana na wapendwa wa Magufuli ni wengi..omba msaada kutoka mikoa jirani
Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.Hakuna cha maambukizi wala nini! Mungu alishatuponya toka mwaka jana. Kama hauijui corona ilivyo nenda Marekani au Uingereza au Brazil uone jinsi ambavyo watu wanaambukizwa kwa maelfu kila siku na kufa kwa mamia na maelfu kila siku pamoja na kwamba wanavaa "hirizi" kufunika pua na mdomo!
Hasa wafuasi ya yule lafa, hawakutegemea kama watu wengi kiasi hicho watajitokeza ili uongo wao wa kusema magufuli alikuwa hapendwi utimie. Wameumbuka vibaya. Ndiyo maana lafa mwenyewe amekosa hata kitu cha maana cha kusema.Kuna watu wameumia kweli , kuona umati wa watu imejitokezza kumuaga , hayat Rais magufuli , pumzika kwa Amani .
Kamanda, unaonaje wewe unayepinga ukathibitisha kuwa hayupo?Kwanza kabisa thibitisha Mungu yupo.
Lafa pamoja na risasi 16 lakini bado tunashirikiana nae oxygen ya bure duniani.Hasa wafuasi ya yule lafa, hawakutegemea kama watu wengi kiasi hicho watajitokeza ili uongo wao wa kusema magufuli alikuwa hapendwi utimie. Wameumbuka vibaya. Ndiyo maana lafa mwenyewe amekosa hata kitu cha maana cha kusema.
Ndo mume wenu lissu alivyowaambia?Mnazidi kusambaza covid. Mnatia kinyaaa kwani huo siyo utamaduni wa Kiafrica. Maiti inatembezwa kwa uonesho ili iweje?
Is it a trophy?
Waambie hizo waliofiwa kutokana na maambukizi ya Covid-19.Covid 19 ni mafua