Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli Wake, Hata Kama Uko Kinyume cha Katiba, Sera na Ilani?.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,180
Wanabodi,

Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, na ukweli halisi, au ikitokea ukweli wa rais Magufuli ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM

Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo wake, sio ukweli halisi, au unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli wake, rais Magufuli atausema tuu ukweli huo, bila kujali the consequences ya ukweli huo, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.

Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.
Moja ya kauli za ukweli huu ni kauli ya hivi majuzi ya kwa rais Magufuli kutoa mawazo yake kuhusu uzazi wa mpango, ambapo mawazo hayo, yamepingana na sera ya taifa ya Afya, hivyo rais kuonekana kama anapinga uzazi wa mpango, japo wengi na media zimemsikia juzi pale kwenye ziara yake Usukumani, lakini kabla ya kutoa kauli hiyo, rais Magufuli huko nyuma aliwahi kuzungumzia hili kupinga uzazi wa mpango kwa kutuhimiza tufyatue tuu watoto, na atawasomesha bure!. Jee kwenye hili la uzazi wa mpango, jee Watanzania tumuunge mkono rais wetu, au tuunge mkono sera ya taifa ya afya?.

Baada ya rais Magufuli kuuzungumzia uzazi wa mpango, jee sisi Watanzania, wakiwemo Wakristu Wakatoliki, tumuunge mkono rais wetu kwa kutopanga kabisa uzazi ili twende mbinguni?, kwa sababu kutumia njia zozote za kupanga uzazi kwa Mkristu Mkatoliki ni dhambi!, kwa sababu watoto huumbwa na Mungu na hupangwa na Mungu, au tujitatathmini our social economic situations to determine our capabilities za kutunza, kulea, kulisha, kuvisha,kuishi mahali pazuri, na kusomesha elimu mzuri katika shule bora kwa familia kubwa?. Tafsiri ya rais ni uwezo tuu wa kulisha."Mtu hataishi kwa mkate tuu".

Hapa nimetumia Wakatoliki kuwakilisha Wakristu wote, kwa sababu Kanisa Katoliki ndilo kanisa kuu la Kikristo duniani, lenye waumini wengi kuliko dini nyingine yoyote, ambalo ndilo pekee Takatifu Katoliki la Mitume lililoachwa na Yesu Kristo kupitia wale mitume wake thenashara!, madhehebu mengine yote yamechipukia kutoka kanisa Katoliki, hivyo tofauti baina ya dhehebu na dhehebu ni kwenye mambo madogo madogo, lakini makubwa ya msingi ni yale yale, likiwemo fumbo la uumbaji, muumbaji ni mmoja tuu ni Mungu na lengo la Mungu kutuumba sisi binadamu, ni kwa ajili ya kufanya mambo mawili tuu, 1. Kumwabudu yeye pekee, na 2. kuzaana kuongezeka na kuijaza nchi yote.

Na kwa upande wa Watanzania wengine wote, hakuna jamii yoyote ya kiasili iliyokuwa inapanga uzazi kwa madawa ya kuzuia uzazi bali uzazi ulipangwa kwa njia za natural, au kwa kuoa wanawake wengi ili usimchoshe mke mmoja kumzalisha watoto wengi, hiyo hoja za uzazi wa mpango, ni hoja za wazungu kututega, ili kupunguza nguvu kazi yetu ya Tanzania ya viwanda, hivyo alichokisema rais wetu ni kitu cha kweli kabisa.

Kwa vile kauli ya rais ni amri, ni sheria, baada ya ile kauli ya rais wetu kuhusu kuachana na uzazi wa mpango, jee tubadili sera yetu ya afya, tuondoe kipengele cha uzazi wa mpango?. Na kwa vile kuna some international instruments kuhusu uzazi wa mpango ambao Tanzania tumeridhia, jee bunge letu lizipitie tuzibatilishe?. Mashirika kama WHO, UNFPA, PSI, Umati etc ambayo yanajishughulisha na mambo ya idadi ya watu, jee yafungashe virago na kutuachia Tanzania yetu, tuiendeshe kivyetu vyetu bila kufuata matakwa ya wazungu hawa wanaotaka kutuchuuza?. Hata zahanati za Marrie Stoppes zinazoendeshwa kwa ufadhili wa watu wa Marekani na shughuli yao kuu ni ile ya kuzicholopoa, nazo zifungwe tuu?.

Kauli hii inakwenda kinyume cha sera yetu ya afya, na mikataba mbalimbali ya kitaifa na ya kimataifa ambayo Tanzania tumeridhia!, sasa rais wetu anapokwenda tofauti na jambo ambalo ni sera, what does that mean?. Watendaji wafuate nini kati ya sera na kauli ya rais?.

Hii sio mara moja au mbili, rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli kutoa kauli tata zinazokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na ilani ya uchaguzi ya CCM, ambazo nyingine zinaweka njia panda wasaidizi wake, ambapo hulazimika kujitokeza kuzikanusha kiana kama kauli hii
Ilimbidi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kujitokeza hadharani na sera ya afya mkononi na kuikanusha kauli hii ya rais kwa kisingizio cha kusema kuwa kauli ilikuwa ni ya utani tuu, akiwatania watani zake Wazaramo.

Sasa rais Magufuli hapa amerudia tena kauli kama ile na kutoa msimamo wake kuhusu uzazi wa mpango

Jee Waziri Ummy sasa atameza tuu maneno yake na sera yake ya afya?, au ataibuka na kumtetea rais kwa kuifafanua kauli hii, tena sijui this time atatoa kisingizio gani?!, ila sitashangaa waziri akiibuka na kesema pale rais Magufuli, alikuwa haliambii taifa, bali alikuwa akiwalenga ndugu zake Wasukuma tuu!, maana ndio wenye tabia ya kuzaa watoto wengi na mambo ya wanawake wengi, ndio maana alikuwa akichanganya lugha na kutumia Kisukuma!.

Nchi inaendeshwa kwa mihimili mikuu mitatu ambayo inapaswa kuwa independent, rais alipozuia safari zote za nchi hadi kwa mihili yote, hadi kwa kibali chake, huku kulikuwa ni kuingilia mihimili mingine!, kiukweli kabisa Spika wetu na Jaji Mkuu wetu, wakitaka kusafiri, inawapasa kuomba kibali kwa mkuu wa mhimili mmoja!. Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki 'Separation of Powers'? - JamiiForums

Hili la kauli za rais kuleta sintofahamu halikuanza leo, hata alipowakatalia wasichana wa shule kupata mimba za utotoni, alikwenda kinyume cha sera ya ustawi wa jamii na ilani ya uchaguzi ya CCM. Jee Kitendo Cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?. - JamiiForums

Rais alipowaelekeza Polisi kuwanyanganya silaha majambazi kwa "haraka haraka", kauli hii ilikiuka kanuni za utendaji wa jeshi la polisi, na mchakato wa utoaji haki, kwa kuwageuza polisi ndio wakamataji, washitaki, mahakimu, na watekekezaji ila capital punishment pale kwa pale!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje? - JamiiForums

Ushauri Zangu Mbalimbali Kuhusu Rais Wetu Kuwa Mkweli
Kuhusu hili la rais wetu kuwa huru kusema lolote, niliwahi kushauri hapa
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Pia kuna vitu rais wetu anavisema in public, vinaonyesha kama rais wetu hakushauriwa vema, hivyo nikashauri
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Pia kwenye kuusema ukweli, niliwahi kushauri kuhusu kusema kweli
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
Rais Magufuli alipouzungumzia uongo wa mke mmoja, wakati ki ukweli wengi wetu tuna wake wengi, nilipmpongeza
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishe The Church of Africa, Tuoe Wake Wengi! - JamiiForums

Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume na ukweli halisi, au kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais , au ukweli halisi, na kwenye ukweli wa rais unaokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, watendaji wa serikali, watekeleze ukweli upi?.

My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.

Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
 
Wanabodi,

Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM

Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli, rais Magufuli atausema ukweli huo, bila kujali the consequences, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.

Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

Moja ya kauli za ukweli huu ni kauli ya hivi majuzi ya kwa rais Magufuli kutoa mawazo yake kuhusu uzazi wa mpango, ambapo mawazo hayo, yamepingana na sera ya taifa ya Afya, hivyo rais kuonekana kama anapinga uzazi wa mpango, japo wengi na media zimemsikia juzi pale kwenye ziara yake Usukumani, lakini kabla ya kutoa kauli hiyo, rais Magufuli huko nyuma aliwahi kuzungumzia hili kupinga uzazi wa mpango kwa kutuhimiza tufyatue tuu watoto, na atawasomesha bure!. Jee kwenye hili la uzazi wa mpango, jee Watanzania tumuunge mkono rais wetu, au tuunge mkono sera ya taifa ya afya?.

Baada ya rais Magufuli kuuzungumzia uzazi wa mpango, jee sisi Watanzania, wakiwemo Wakristu Wakatoliki, tumuunge mkono rais wetu kwa kutopanga kabisa uzazi ili twende mbinguni?, kwa sababu kutumia njia zozote za kupanga uzazi kwa Mkristu Mkatoliki ni dhambi!, kwa sababu watoto huumbwa na Mungu na hupangwa na Mungu, au tujitatathmini our social economic situations to determine our capabilities za kutunza, kulea, kulisha, kuvisha,kuishi mahali pazuri, na kusomesha elimu mzuri katika shule bora kwa familia kubwa?. Tafsiri ya rais ni uwezo tuu wa kulisha.

Hapa nimetumia Wakatoliki kuwakilisha Wakristu wote, kwa sababu Kanisa Katoliki ndilo kanisa kuu la Kikristo duniani, lenye waumini wengi kuliko dini nyingine yoyote, ambalo ndilo pekee Takatifu Katoliki la Mitume lililoachwa na Yesu Kristo kupitia wale mitume wake thenashara!, madhehebu mengine yote yamechipukia kutoka kanisa Katoliki, hivyo tofauti baina ya dhehebu na dhehebu ni kwenye mambo madogo madogo, lakini makubwa ya msingi ni yale yale, likiwemo fumbo la uumbaji, muumbaji ni mmoja tuu ni Mungu na lengo la Mungu kutuumba sisi binadamu, ni kwa ajili ya kufanya mambo mawili tuu, 1. Kumwabudu yeye pekee, na kuzaana kuongezeka na kuijaza nchi yote.

Na kwa upande wa Watanzania wengine wote, hakuna jamii yoyote ya kiasili iliyokuwa inapanga uzazi kwa madawa ya kuzuia uzazi bali uzazi ulipangwa kwa njia za natural, au kwa kuoa wanawake wengi ili usimchoshe mke mmoja kumzalisha watoto wengi, hiyo hoja za uzazi wa mpango, ni hoja za wazungu kututega, ili kupunguza nguvu kazi yetu ya Tanzania ya viwanda, hivyo alichokisema rais wetu ni kitu cha kweli kabisa.

Kwa vile kauli ya rais ni amri, ni sheria, baada ya ile kauli ya rais wetu kuhusu kuachana na uzazi wa mpango, jee tubadili sera yetu ya afya, tuondoe kipengele cha uzazi wa mpango?. Na kwa vile kuna some international instruments kuhusu uzazi wa mpango ambao Tanzania tumeridhia, jee bunge letu lizipitie tuzibatilishe?. Mashirika kama WHO, UNFPA, PSI, Umati etc ambayo yanajishughulisha na mambo ya idadi ya watu, jee yafungashe virago na kutuachia Tanzania yetu, tuiendeshe kivyetu vyetu bila kufuata matakwa ya wazungu hawa wanaotaka kutuchuuza?.

Kauli hii inakwenda kinyume cha sera yetu ya afya, na mikataba mbalimbali ya kitaifa na ya kimataifa ambayo Tanzania tumeridhia!, sasa rais wetu anapokwenda tofauti na jambo ambalo ni sera, what does that mean?. Watendaji wafuate nini kati ya sera na kauli ya rais?.

Hii sio mara moja au mbili, rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Joseph Magufuli kutoa kauli tata zinazokwenda kinyume cha katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na ilani ya uchaguzi ya CCM, ambazo nyingine zinaweka njia panda wasaidizi wake, ambapo hulazimika kujitokeza kuzikanusha kiana kama kauli hii
Ilimbidi Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kujitokeza hadharani na sera ya afya mkononi na kuikanusha kauli hii ya rais kwa kisingizio cha kusema kuwa kauli ilikuwa ni ya utani tuu, akiwatania watani zake Wazaramo.

Sasa rais Magufuli hapa amerudia tena kauli kama ile na kutoa msimamo wake kuhusu uzazi wa mpango

Jee Waziri Ummy sasa atameza tuu maneno yake na sera yake ya afya?, au ataibuka na kumtetea rais kwa kuifafanua kauli hii, tena sijui this time atatoa kisingizio gani?!, ila sitashangaa waziri akiibuka na kesema pale rais Magufuli, alikuwa haliambii taifa, bali alikuwa akiwalenga ndugu zake Wasukuma tuu!, maana ndio wenye tabia ya kuzaa watoto wengi na mambo ya wanawake wengi, ndio maana alikuwa akichanganya lugha na kutumia Kisukuma!.

Nchi inaendeshwa kwa mihimili mikuu mitatu ambayo inapaswa kuwa independent, rais alipozuia safari zote za nchi hadi kwa mihili yote, hadi kwa kibali chake, huku kulikuwa ni kuingilia mihimili mingine!, kiukweli kabisa Spika wetu na Jaji Mkuu wetu, wakitaka kusafiri, inawapasa kuomba kibali kwa mkuu wa mhimili mmoja!. Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki 'Separation of Powers'? - JamiiForums

Hili la kauli za rais kuleta sintofahamu halikuanza leo, hata alipowakatalia wasichana wa shule kupata mimba za utotoni, alikwenda kinyume cha sera ya ustawi wa jamii na ilani ya uchaguzi ya CCM. Jee Kitendo Cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?. - JamiiForums

Rais alipowaelekeza Polisi kuwanyanganya silaha majambazi kwa "haraka haraka", kauli hii ilikiuka kanuni za utendaji wa jeshi la polisi, na mchakato wa utoaji haki, kwa kuwageuza polisi ndio wakamataji, washitaki, mahakimu, na watekekezaji ila capital punishment pale kwa pale!.
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na kupandishwa vyeo limekaaje? - JamiiForums

Ushauri Zangu Mbalimbali Kuhusu Rais Wetu Kuwa Mkweli
Kuhusu hili la rais wetu kuwa huru kusema lolote, niliwahi kushauri hapa
Jee Aachwe Aseme Tuu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?!. - JamiiForums
Pia kuna vitu rais wetu anavisema in public, vinaonyesha kama rais wetu hakushauriwa vema, hivyo nikashauri
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! . - JamiiForums
Pia kwenye kuusema ukweli, niliwahi kushauri kuhusu kusema kweli
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
Rais Magufuli alipouzungumzia uongo wa mke mmoja, wakati ki ukweli wengi wetu tuna wake wengi, nilipmpongeza
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishe The Church of Africa, Tuoe Wake Wengi! - JamiiForums

Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
We jamaaa mwanzoni ulikuwa mwandishi haswaa lakini now days sijui umepatwa na nini??
 
Comments Reserved ''Mkubwa hajambi''
 
Katika maisha yangu sijawahi kumwamini mwanasiasa
 
Hivi huyu mtu inamaana anatakiwa kuungwa mkono yeye tu amekua nani haswa? Saa zingine mawazo tofauti ni bora zaidi maana tangu waanze kuumunga mkono sijaona tija yoyote ile haswa ukizingatia huyu mtu ni mvunjaji wa sheria namba moja katiba namba mbili, utu namba tatu roho mbaya namba 4 daah
 
Kwa kutaka tutoa elimu nzuri, nazani ilipaswa kuanza na sera ya uzazi hapo kwanza.

Pili, Mimi nafikiri magufuli katoa kauli hili kwa mtaji wa kisiasa ndani ya ccm, kwasababu mkuu moja takwimu inaeleza kuwa watanzania Tupo million 50.

Kwenye idadi hivyo inasemeka wakatoliki wapo mbioni kuzidiwa na waslimu Kwasababu wakatoliki ndio wanaofata uzazi wa mpango.

Pia nilazima tuwe wakweli tu kuwa waslimu bado hawana elimu sana so kwenye hili ccm wameona kuwa tatizo Kwasababu taifa litamuliwa na upinzani wa kweli.

Natamka Hivi Kwasababu waslimu ni wakweli katika maamuzi.

mr mkiki
 
Wanabodi,

Leo nimepata tena fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa, mada ya leo ikiwa ni swali kuhusu, kunapotokea mkanganyiko kati ya ukweli wa rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ukitofautiana na ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee ni ukweli upi ufuatwe katika utawala wa nchi yetu kati ya ukweli wa rais wetu, au ukweli wa katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM

Moja ya sifa kuu na za pekee za rais Magufuli ni kuwa kuwa mkweli daima, sometimes, anakuwa mkweli too much mpaka anapitiliza, katika kuusema ukweli, rais Magufuli atausema ukweli wake no matter what, hata kama ukweli huo unapigana na katiba, sheria, taratibu, kanuni, sera na hata ilani ya uchaguzi ya CCM, as long as ni ukweli, rais Magufuli atausema ukweli huo, bila kujali the consequences, na kuwaachia kigugumizi wasaidizi wake namna ya kuuweka sawa ukweli huo kama unakwenda kinyume cha sera na ilani, ila unapokwenda kinyume cha katiba, uzoefu wangu umeonyesha, huwa wananyamaza tuu!.

Hili ni bandiko la hojaji kuhusu Watanzania kumuunga mkono rais wetu katika kufuata ukweli huu wa rais wetu, kwa vile Rais Magufuli ni Mkweli Daima!. Jee Tumuunge Mkono Rais Wetu Katika Kila Ukweli wake, Hata Kama Ukweli Huo unakwenda Kinyume cha Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?. Katika kumuunga mkono rais wetu katika ukweli wake, jee sasa nchi yetu iendeshwe kwa ukweli wa rais wetu, au tuendelee kuiendesha nchi yetu kwa mujibu wa Katiba, sheria, taratibu, kanuni, Sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

Hitimisho.
Inapotokea rais akatoa msimamo wake binafsi ambao ndio ukweli wake, na ukaenda kinyume cha katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM, jee Watendaji wa serikali yetu tukufu, watatekekeza nini kati ya ukweli wa rais na katiba, sheria, taratibi, kanuni, sera na Ilani ya uchaguzi ya CCM?.

My Take
Hili la mtu kusema chochote, popote, as long as ni ukweli, mimi naliunga mkono, maana kila mmoja wetu, akiwa ni mkweli wa aina hii na kusema chochote, popote, its healthy, maana you never know, katika hii ongea ongea, kuna siku hata waliohusika na matukio kama ya kina Lissu, watakuja kuropoka, na ukweli utajulikana!.

Wasalaam.
Jumatano Njema.
Paskali
Kuna siku atakuelewa kama vile umecheza biko
 
Paskali ila moyoni unajua ukweli ni upi.. bunge limekuweza kweli na unawapatia kisawa sawa.. anza kusifia kila kitu hadi kikomba anachonywea chai.. tupo nyuma yako

Sometimes huwaga nawazaga huyu mzee angepoteaga kama Ben Saanane

Tatizo mnapenda kusifiana tuuuu na kuungana tuuuu. Ila ntamusifia siku Tanzania ikiwa donor country, siku na sisi tugawe misaada, tupeleke mitumba ulaya, tuwe matajiri naingoja hiyo siku walah

Ila hizi porojo nyingine za Paschal Njaa ni useless na upumbavu
 
Ukweli wa Magufuli unàwatesa sana wanasiasa makanjanja kama Lisu na Zitto
unamwita zitto kanjanja? hujui hata sheria ya takwimu mmeibadilisha kwa ajili yake? unamwita lisu kanjanja? kwann mlitaka kumuua kanjanja? wewe upo shallow kichwani huwezi jua hawa watu wanajadili nini. nakushauri uweke nyimbo za komba uanze kunengua
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom