Yes, haina ubishi, Nyerere alikuwa mkristo alikufa, Mwinyi ni muislam yu hai, Mkapa was a mkristo ni hayati, Kikwete ni muislam yu hai, JPM alikuwa Mkristo naye katangulia mbele za haki, Samia...
Wanabodi,
Kwa vile rais msataafu, Benjamin William Mkapa ni Baba wa Demokrasia, natoa wito kwa viongozi wetu, na sisi Watanzania katika ujumla wetu, tumuenzi Benjamini kwa kumsheherekea na...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwa ninaandika kitu kupitia safu yangu ya "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye kuhimiza patriotism kwa Watanzania kuwa wazalendo kwa taifa letu, kwa kutanguliza mbele...
Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote...
Tunaposema vyombo tunazungumzia JWTZ, TISS, Magereza, Uhamiaji na Polisi. Je, Kuna wazanzibar wamewahi ongoza vyombo hivi katika nafasi ya juu kabisa( mkuu wa chombo)?
Tuwafahamu Kama wapo!
Wanabodi,
Mode: Kunapotokea jambo kubwa, jema, zuri lenye manufaa kwa mustakabali wa taifa kama leo, naomba ruhusu free flow of information kuhusu jambo hilo kwa kuruhusu hata threads 100 zenye...
" Siku ya kuachiwa, kwanza nitamshukuru Mungu, kisha nitamuombea sana kwa Mungu rais Magufuli".
Ingekuwa Ikulu unajiendea tuu kama unavyokwenda dukani, siku yangu ya kuachiwa ningetamani...
Tanzania hatujawa na njia sahihi ya kukabiliana na tuhuma mbalimbali za kimataifa tunazotuhumiwa nazo ziwe za uongo au kweli.
Hoja zilizojadiliwa juzi na Kamati ya kudumu ya Mambo ya nje ya bunge...
Wanabodi,
Zile siku 14 za msamaha wa rais Magufuli za kuandika barua kukiri makosa na kuahidi kutorudia tena na kulipa walichoiba zimekamilika. Ofisi ya DPP imeishaanza kuzifanyika kazi kwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la simulizi ya Kayafa Mkuu wa Bhaghdad enzi za simulizi za Alfu Lela Ulela, Khalifa Harun El Rashid, lengo likiwa ni kuwahamasisha wana jukwaa kuwa kwenye mazuri...
Ndugu zangu!
Ni kawaida kwa kila kiongozi akishika hatamu kujifanyia namna yako ya uongozi/utawala, huku akizingatia mwongozo wa katiba.
Lakini pia katika kuunda serikali, kiongozi mkuu (kwa...
Mwaka 1 na miezi ya JK aliweza kutoa ajira kwa watoto maskini, alitoa mikopo kwa watoto wa masikini wengi na hakubagua hata waliosoma private schools nao walipata nikiwemo mimi lakini ingekuwa leo...
Nianze kwa kutoa pongeza kwa wote waliofanikisha mpaka Ripoti ya CAG ikaweza kutolewa. Hilo limefanyika pamoja na kwamba Magufuli ameukimbia mji, Ndugai naye amelikimbia Bunge. They are buying...
Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini...
Shida moja kubwa ya upinzani Tanzania ni kutojua kipi wanataka kwanza.
Kwa mtu mwenye akili kitu cha kwanza kabisa Kwa wapinzani ni Tume huru ya uchaguzi...na wala sio serikali tatu.
Tume huru...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha uzalendo wetu kwa sisi Watanzania wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao tusingependa kuona uhuru wa taifa letu unaingiliwa na taifa jingine lolote au mtu...
Mbunge wa viti maalum, Nusrat Hanje amemuomba Rais John Magufuli kuzifuta kesi zote zinazohusu uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, 2020 ili wananchi wafanye shughuli za kuijenga nchi.
Hanje ni miongoni...
Habari hii ilichapishwa kwenye gazeti la RAI miaka michache iliyopita ikisomeka...
Huyu Ndiye Pombe Magufuli:
- Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe
- Apuuza maonyo ya...
Wanabodi,
Kufuatia matatizo ninayokumbana nayo kutokana na kuchangia Jf, naomba kukitokea hoja zozote za kutanguliza mbele maslahi yang taifa, nitakuwa naanza na kibwagizo cha declaration ya...
Sheria ya takwimu iliyopitishwa hivi karibuni inakataza matumizi na kutangaza takwimu zisizo rasmi, nimemsikia Waziri Mkuu akiijulisha dunia kuwa watu bilioni 3.9 wamefuatilia msiba wa Hayati JPM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.